Weka sawa wataalam watakuelewa, mfano unaposema tab yako inasave energy kwa siku 6 yakupasa pia kutaja battery ina nguvu kiasi gang, mfano tab nyingi nguvu ya battery ni kati Amh4000-5000 sasa waambie uliokusudia kuwatangazia nguvu iliyomo kwenye battery ya tab yako. Vyema pia ukataja aina ya hiyo tab ili wasake wenyewe sifa ya tab yako.
mr jina nimeweka tecno h8 ndio jina la tab unaweza kuisaka ukaionaWeka sawa wataalam watakuelewa, mfano unaposema tab yako inasave energy kwa siku 6 yakupasa pia kutaja battery ina nguvu kiasi gang, mfano tab nyingi nguvu ya battery ni kati Amh4000-5000 sasa waambie uliokusudia kuwatangazia nguvu iliyomo kwenye battery ya tab yako. Vyema pia ukataja aina ya hiyo tab ili wasake wenyewe sifa ya tab yako.
kama unajua tunaweza kuisaka wenyewe umeweka tangazo lako hapa ili iweje sasamr jina nimeweka tecno h8 ndio jina la tab unaweza kuisaka ukaiona
mimi bidhaa yeyoye ikishakuwa kariakoo tu basi imani hunitoka moja kwa moja