Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,941
- 11,725
Habari.
Nahitaji mtu mwenye tecno camon 12 tubadilishane na spark 4 yangu.
Simu yangu bado ipo vuzuri mwonekano wa mpya haijatumika sana haina crack wala shida yoyote nimeamua tu kubadilisha mazingira nitumie camon 12 ambayo nilishawahi kuitumia nikavutiwa nayo.
Nipo Dar es Salaam.
Kama upo interested piga/ SMS namba
0686 909187