Tecno Camon 15 yazinduliwa rasmi

Tecno Camon 15 yazinduliwa rasmi

ukutaka kujua ubovu wa tecnooozo washa data hutumiii mpaka notification zote ziingingie sio kwa stakii hukko na ilolikamera sijui tecno wanawekaaga nn yan siku zinazid enda camera inachoka kabla ya sim utakuta ram gb6 chukua samsung ya gb2 perfomance hachomoii camera mp64 kwa samsung ni 30 huawei labda 10 au 15 😆😆😅
 
Kwan hujawahi kwenda kwenye ofisi za Mobisol au za umeme wa jua utakuta wanaitumia umeme wa tanesco??
Umeongea nini sasa. Kwani ukienda Azam Tv ukakuta wanatazama TBC utashangaa?

Tofautisha shirika na huduma za kiserikali dhidi ya huduma private zenye ushindani. Huwezi enda ofisi ya Toyota Tanzania ukakuta boss amepaki Ford au Mitsubishi.
 
Back
Top Bottom