BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,463
- 3,641
Bei elekezi ya camon15 katika maduka yetu ya tecno smarthub kwa Tsh 400,000/=Bei yake inauzwa shilingi ngap?
camora yake unauwezo mkubwa wa 48MP za kukuwezesha kupiga picha nzuri na pia ina betri ya 5000mAh yenye nguvu zaidi
Bei elekezi ya camon15 katika maduka yetu ya tecno smarthub kwa Tsh 400,000/=
Bei elekezi ya camon15 katika maduka yetu ya tecno smarthub kwa Tsh 400,000/=Bei yake inauzwa shilingi ngap?
Maelezo mazuri lakini vitu muhimu kama specs na bei hamjaandika sijui mnasubiri nini ?
Ha haha!!TECNO Tanzania left the group.
Hivyo mnanishauri niuze samsung galaxy note 10+ yangu ninunue tecno canon 15? Maana nilikua na mpango niuze hii niongezee ninunue s20 utra.
Ushauri tafadhali
Hawezi kukuelewa huyo, Kampuni kina wanachofanya Top management kina impact kubwa sana ndio mana lazima waendane tu kampuni the rest wako spotted sana na inaweza punguza credibility ya product zao kama watu wakigundua hata yeye hatumii izo products, Hata Steve job alivyosema watoto wake hawatumii kabisa iPad iliharibu sanaUmeongea nini sasa. Kwani ukienda Azam Tv ukakuta wanatazama TBC utashangaa?
Tofautisha shirika na huduma za kiserikali dhidi ya huduma private zenye ushindani. Huwezi enda ofisi ya Toyota Tanzania ukakuta boss amepaki Ford au Mitsubishi.
Hoyo hela unapata Note 10+ mpya kabisa dukani na warranty ya miezi 24., Kwa nini ununue ya mkononi mkuu?Niuzie hiyo kwa 800k
Hivyo mnanishauri niuze samsung galaxy note 10+ yangu ninunue tecno canon 15? Maana nilikua na mpango niuze hii niongezee ninunue s20 utra.
Ushauri tafadhali
Hoyo hela unapata Note 10+ mpya kabisa dukani na warranty ya miezi 24., Kwa nini ununue ya mkononi mkuu?
Mi nnayo techno INA laini mbili,ajabu laini moja inaebeep laini ingine na unakuta misscall
Sent using Jamii Forums mobile app






🤝Watu wanaponda sana.
Ila wengi wenu hapa mnatumia Tecno.
Kati ya comment zote 97 ninaamini comment 60 zimetumwa kwa simu ya Tecno na jamii zake kama Infinix au Itel.
Sent using Jamii Forums mobile app