Tecno Camon 15 yazinduliwa rasmi

Tecno Camon 15 yazinduliwa rasmi

Sijawahi tumia Tecno..
Nilianza na Huawei Y 330 ...
Sony Xperia z4
Samsung G530
Iphone 6+ Yenye Gb 16 Room
Now Huawei mate 8 shida ya tekino mmebase kwenye camera Kama vile simu ni kamera Tuu anyway watumiaji wenu wengi ni Vilaza ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sijawahi tumia Tecno..
Nilianza na Huawei Y 330 ...
Sony Xperia z4
Samsung G530
Iphone 6+ Yenye Gb 16 Room
Now Huawei mate 8 shida ya tekino mmebase kwenye camera Kama vile simu ni kamera Tuu anyway watumiaji wenu wengi ni Vilaza
Kwani kamera zao ni nzuri au unadanganywa na wingi wa pixels??
 
Hahaja camera ya tecno inaexpire date ukitumia miezi sita utaanza kuona mabadiliko ghafla picha hazing'ai tena kama zamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom