Aisee hawa jamaa wanatoa simu kwa speed ya kufa mmasai.. Ni afadhal wangefata mfumo wa kin apple,samsung n.k ila ndo simu za hali yetu watanzania.. Kwa sifa za tecno c9 alaf inauzwa laki 4 , ni bei ndogo kulinganisha ba sifa za hio simu, tena ikifika miez 5 inashuka bei vibaya mno