Tecno c5, c8, c9 mmmmhhh!!

Aisee hawa jamaa wanatoa simu kwa speed ya kufa mmasai.. Ni afadhal wangefata mfumo wa kin apple,samsung n.k ila ndo simu za hali yetu watanzania.. Kwa sifa za tecno c9 alaf inauzwa laki 4 , ni bei ndogo kulinganisha ba sifa za hio simu, tena ikifika miez 5 inashuka bei vibaya mno
 
Mimi nipo na C8, ina huduma kibao sijazitumia hata kwa 50% niliipata kwa Tshs310,000 hawa jamaa ndo mkombozi wa sisi wanyonge, ikifa hii nitaingia C9 hata kama toleo hilo litakuwa limepitwa na wakati maana kwangu ndo litakuwa toleo jipya kabisa
 
Aisee hawa jamaa wanatoa simu kwa speed ya kufa mmasai.. Ni afadhal wangefata mfumo wa kin apple,samsung n.k ila ndo simu za hali yetu watanzania.. Kwa sifa za tecno c9 alaf inauzwa laki 4 , ni bei ndogo kulinganisha ba sifa za hio simu, tena ikifika miez 5 inashuka bei vibaya mno

kwa hiyo mmasai anakufa kwa speed kali
 
Aisee hawa jamaa wanatoa simu kwa speed ya kufa mmasai.. Ni afadhal wangefata mfumo wa kin apple,samsung n.k ila ndo simu za hali yetu watanzania.. Kwa sifa za tecno c9 alaf inauzwa laki 4 , ni bei ndogo kulinganisha ba sifa za hio simu, tena ikifika miez 5 inashuka bei vibaya mno
Ya kufa mmasai au ya kufa mtu?
Hahahahahaaaa.
JF bhana,kuna akili za kila aina.
 
mimi natembea na series yao ya tecno boom j...nao naitafuta boom j8
 
tecno wanacho zingatia ni kutoa simu kwa haraka kuliko kuzingatia ubora wa simu zao wenyewe wanatoa tu simu utafikiri wanafyatua matofali.
 
Back
Top Bottom