Technophilic Leo nimeumbuka! Nime compromise personal security bila kujua

Technophilic Leo nimeumbuka! Nime compromise personal security bila kujua

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
3,104
Reaction score
4,564
Ndugu wapenda technologia….

Hii yote inahusu simu yangu ya iphone
Leo nimepata pigo kubwa la security Bleach KWA KUKUSUDIA NA PASIPO KUKUSUDIA

Hivi juzi kati nimenunua simu nyingine Iphone 11 kutoka ka mtu naefahamiana nae na mm nililua natumia iphone X max
Sasa changamoto ikawa kwene kuhamisha vitu ! Sikua nauwezo wa kuhamisha vitu kutoka iphone x had 11 kwa PAAP…
Najua technologia hiyo ipo lakin ilinibid niende kwene maduka ya iphone ambapo najua wangenichaji pesa kadhaa.
kwakua sikua na haraka Nikaona niwe nahamisha vitu taaratibu kwa kutumia Airdrop lakini kuna vingine vili kua sychronized kwene icloud vilihama tu automatic had kwene iphone mpya baada ya kusign email
“MNISAMEHE MATECHNOLOGIST KWA KUA NYUMA KITECHNOLOGIA”

Nimehamisha pcha,video na doument zote zikabaki baadhi tu kama picha 100 na zingine kwene Vault.. wataalamu mtakua mnajua vizuri kua huku ndiko zambi zote zipo😀😀😀 na privacy kubwa nk

Wakati vitu baadhi nikiwa na vimalizia nikaendelea kutumia simu zote mbili huku mpya nikiwa naendelea kudownload na kuijaza na app na vitu ambavyo nitavihigaji na ambavyo huwa natumia nikiwa na simu.
kidupi nilikua sijamaliza vitu vingi tu hasa ku unstall baadhi ya app…. Lakini nikaona niwe naendelea kutafuta wateja kwene mitandao wa simu yangu hiyo ya zamani kwan nishapata nyingine. kwaiyo nikawa naipost post kwene mitandao.


SASA LEO KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA
Nikaona niende kwa uyu fundi wangu wa ambae nimezoeana nae kama mwana nikamwambia nauza simu …..
kifupi ye ni fundi simu lakini yupo na duka la simu na vifaa vya simu pia.

Nikamwonesha…akaichek akaniambia kwa bei ninayouza kuna demu alikua anataka simu kwaiyo anataka amuoneshe…..

Kwakua alikua amenihakikishia kuna mteja nikasema nihamishe zile picha mia(100) zilizobakia ingawa hazikua na kipengele lakin ziko zingine n too personal, kwa wale tuliosoma risk hii ilikua (LOW RISK)

waakat nahamisha akatokea jamaa anataka kuona simu basi kwa kua nilikua pale nikasubiri sec kumi imalize kutransfer zile picha na hapo hapo nikafuta zilizobakia na ku empty recycle bin……………..MISTAKE NO I

Jamaa akaiangalia akaridhika lakini tukashindwana kwene bei…..
Basi akairudisha wakat ana ikagua simu iliji lock ikabidi niwatajie password ili ikijilock tena afungue aendele
Hili naliita……………MISTAKE NO II

Wakat nimeshare screen password ilikua nauhakika hawa wezi kuaccess Vault wala wasap, FB, nmb app, insta nk
Kwanini kwasababu app nyingi zilikua na password tofauti…..na mm kwa kuwepo pale asingeanza kupekua vitu vingine nilikua SURE 100%

Jamaa akaikagua akakwama bei ikabid mpira urudi kwa BEKI nikautuliza.
Nikapata wazo
“VIPI HATA KWA BAHATI MBAYA AKAOTEA PASSWORD YA VAULT MAANA MARA NYINGI PASSWORD ILIKUA INAFATA PATTERN”
Nikaona nitoe picha na mavideo na madoc yote huko na kuyahamishia kwene simu kisha nikaya transfer na kudelete kote kote
“kwa sasa NILIKUA SAFE japo kwa sasa!”

Nikawa nimetulia…..

Katika kupiga piga story jamaa paap katoweka kuangalia simuoni jamaa
“Uyu fala kaenda wap na simu yangu? Anyway sikutaka kujiuliza sana nikajua kampelekea SIWEMA demu aliyesema alikua anataka simu. So nikachili nikajua muda mfupi atakua amerudi


Kweli kama dk 10 akawa amerudi akasema alienda kumchek uyo demu ila hakumkuta kwaiyo karud had baadae

Kwakua alitumia muda mfupi sikua sikua na waswasi ingawa kuna baadhi ya acc zilikua wazi sikuwaza kwa muda huo angepata muda wakuangalia mambo yangu binafsi

Kuna kazi nilikua nimeitwa naenda kuichek kwa jamaa yangu basi ilibidi nimwachie simu.
Lakini kwakua this time namuachia almost kwa masa3 basi ilibid niongeze security kwene hiyo simu.
Kwakua password alikua nimempa bas niliamua kufuta app ambazo nilikua nomelog in…
Futa FB
futa. insta
Futa jamii forum
Zingine niliziacha nikiamini hawez zifikia kulingana ma app inavofanya kazi

Nikaondoka….. baada ya saa2 hivi nilirudi kupita offisini kwake alikua amefunga.
muda ulikua saa1:30 usiku (ya kiswahili) cha ajabu nilikuta amefunga.Na si kawaida yake,,, kawaida anafunga saa 3 :30 nikajiuliza huyu leo vip na mbona amefunga hajaniambia na nilimuachia simu yangu na ina line yangu ana lengo gan….
kwa kua kulikua na kamvua kadogo dogo sikuwaza ilo nikasepa nyumbani….
*****************************************
Nyuma kidogo
Wakati nimefuta baadhi ya app niliacha whatsapp app mbili (natumiaga app mbili ya kawaida na business wasap)

Kwa kujua kwamba kuna watu hawawezagi kujiheshimu nikaona pamoja na kua anajifanyaga mstaarabu lakini binadamu tu ni mshenzi WHEN NO BODY IS WATCHING.
hivo nikazilock na FACE ID (yaan kufungua lazima sura yako itazamane na screen)
Nikajiona mjanja kwa muda uo…..
*************************************


KOSA LA KIUFUNDI……..MISTAKE III
Nilipofika home nikakaa zangu kwene tv huku nachezea simu mpya (kwangu) lakini katika pekua pekua ghafla wakat natumia hii simu ambayo nayo ina app za wasap mbili tofauti na ile ya mwanzo ambayo inawasap zingine mbili kiujumla muda huu nilikua na no 4 zote ziko wasap ( No halali wakuu si magendo)…….
Nikagundua ALTERNATIVE YA FACE ID🥵

Hapo FEVER IKASHUTI HAD 150Centgrade

Alternative ya facial ID ni password ya screen.Kwamba kama sura umeiposition vibaya au umeiweka vibaya au kwa dharula basi ikikataa italeta option ya PILI YA KUINGIZA PASSWORD

NA PASSWORD MARA ZOTE NI ILE UNAYO LOCK SCREEN (Automatic) kama kuna ujuzi mwingine nifundishwe.

Hivo kwa kukabidhiii simu yangu kwa dalali wa simu nilikua nimekabidhi acc zangu na kuweza kuacc acc zangu za whatsApp na email.
KIFUPI KUNA VITU VINGI SANA HUMU WASAP AMBAVYO NI PERSONAL NA VINGINE VYA KIKAZI

Kidupi hata my wangu huwa hashiki au kufungua whatsapp zangu kwan nimezitia password

AISEEEEEEEEE HYO MBAYA SANA


WASIWASI NO 1.
Kwann alifunga duka mapema bila kuniambia akatokomea na simu
Inaendelea

Kwa kugundua hilo juhudi za kuanza kumtafuta mtuhumiwa au mshukiwa likaanza.
Bahati nzuri baada ya kutuma msg hazijibiwi nilifanikiwa kupokelewa simu yangu.

“Aisee hiyo simu ina line nayotumia kufanya kazi zaikiofice uko wap ?

Akanijibu alipo , nikamwambia natuma mtu chap aende. Ni kama nilimshtua tangu hapo simu hapokei wala hajibu text.

Hapo ikabidi ni ACTIVATE agent no 1. Nakumuamulu amtafute na location alipo.
Kwa kua kulikua na mvua kukawa na delay hata alipofika eneo la tukio yule mshukiwa wa security bleach akawa hapokei simu na wala hajibu text ikiwa ni yy aliyetutajia alipo

Hapa napata HEADACHE Nakuingia kwn

WASIWASI NO 2.
Kwanini hapokei simu wala ajibu text??
Kwanini ang’ang’anie simu yangu
Je anasubirisha muda uende akae nayo had kesho?
Kwanini adanganye??

WASIWASI NO3
Huyu jamaa ni mnoko mnoko huwa anapenda sana kufuatilia mambo binafsi?

WWASIWASI NO4
Pamoja na kua nimemwambia nina kazi ya emergency ya ofic na ni aya hela nyingi mbona hajali na na uhakika simu hajauza anayo??
Kwanini asione hili jambo kama dharula?

Kutokana na assessment inawezekana kadukua taarifa muhimu za kivideo na picha au za mawasiliano nyeti.

NATAKA NIFANYE UTAFITI NIONE ANAJUA NN KUHUSU ALICHOONA AU KUPEKUA

nipeni skills hapo watu wa interogation
 
1745906266884.jpg
 
Back
Top Bottom