Hawa masomo inabidi wapewe heshima nawatambulike kwenye jamii ili kulinda huu utamaduniSie tunaotoka maeneo ya ukanda huu wa pwani Tanga, Zanzibar na mtwara ni ajabu Sana mtoto wa kike asiejua kukatika kitandani hizi mira za unyago bado zipo sana ila kwa sasa wameadvance zaidi wanafanya kipindi Cha kujiandaa na harusi mwezi mmoja kabla Bibi harusi mtarajiwa anatiwa kambini na wabobezi wanapewa darasa kunakua na wamama mahususi aka wahenga wanafunza kila kituu jina lengine wanawaita SOMO.
Unafikiria kuendeleza mila watot mafunzo wafikiriwe malipo stahiki ili wapate moyo wa kuendelea na kazi?
Hii shughuli hud fanyika kambini mama yako hawezi kukufunza hayaWazazi ndio watoa mafunzo wakuu wa mila na tamaduni, hivyo hawatahitaji malipo. Walimu wao wanatoa support service tu mfano kupitia mwalimu wa nidhamu hili jukumu nalo halihitaji malipo ya ziada
Tatizo watoto wengi waliopelekwa kuchezwa huwa wanaishia na mimba au kuolewa wakiwa wadogo maana sharti la mafunzo ni vitendo bwana. Mila ziendelee ila kuna vitu vitolewe kama kumridhisha mwanaume/mauno
Enzi zetu mtoto wa kike alipelekwa unyagoni na kufundishwa mambo ya ndani. Sikuhizi watoto wabapelekwa boarding school hata mambo ya kuchezwa yanapungua.
Luna umuhimu wa kuendeleza mila hii?
Na mkipata fundi mnamwita malayaila kuna wasichana wachache bado ni miuno feni adi unahis anaikata dudu ynyewe ila wengine ni magogo....kah...na ndo mana hatuishiwi kuchepuka ad tupate wenye ufundi mwingi...
Wanawaza kazi na hela wanasahau sex art & pleasureWanaume mnaona umuhimu wa kukatiwa viuno? Career women wengi ni wabovu katika hili
Matatizo wanaume wengi sikuhizi uzito unaanzia kilo 90-120 na anataka apaishwe. Balimi hazijawahi kumwacha mtu salama.Viuno vya kumridhisha mwanaume si mpk kufundwa kuna wengine makwetu hazipo hizi mila za unyago lkn kitandani mwanaume wa kg 70 unambembeza na kumdundisha km kitenesi, inakujaga automatically hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha pale kiuno feni beneficiary anapoingiliwa maslahi yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapambane na gym tu ili wafaidi technolojia ya viuno[emoji12]Matatizo wanaume wengi sikuhizi uzito unaanzia kilo 90-120 na anataka apaishwe. Balimi hazijawahi kumwacha mtu salama.
Umesahau nyama chomaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]Matatizo wanaume wengi sikuhizi uzito unaanzia kilo 90-120 na anataka apaishwe. Balimi hazijawahi kumwacha mtu salama.
Ninadhani kuwe na tuition kwa wale ambao hawakupita ngoma na wanataka kufahamu.
NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!Wanaume mnaona umuhimu wa kukatiwa viuno? Career women wengi ni wabovu katika hili