ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,285
- 19,471
Mkuu unamfahamu Asa Akira yule dada kutoka bara la Asia kiboko yule.
Mtafte mwengine anaitwa Rachel starr ndio mpinzani wake huyu hatari sana.
Siwezi baby.. sababu vinakujaga sasa nisipovikata ntakua nafake bby..Oouh hapo tupo sambamba maana nilipatwa na mfadhaiko mkubwa saana nikajua nawe utastop...
Hizo elimu zimehamia youtube siku hizi
Sie tunaotoka maeneo ya ukanda huu wa pwani Tanga, Zanzibar na mtwara ni ajabu Sana mtoto wa kike asiejua kukatika kitandani hizi mira za unyago bado zipo sana ila kwa sasa wameadvance zaidi wanafanya kipindi Cha kujiandaa na harusi mwezi mmoja kabla Bibi harusi mtarajiwa anatiwa kambini na wabobezi wanapewa darasa kunakua na wamama mahususi aka wahenga wanafunza kila kituu jina lengine wanawaita SOMO.Wanaume mnaona umuhimu wa kukatiwa viuno? Career women wengi ni wabovu katika hili
Ni heri kubadilisha mpaka mtoto akifikisha miaka 18 at least maana kidogo anakua anajitambua.You have a point there, tiba Dili she umri wa kuwacheza? Ingawa raha ya samaki mkunje angali mbichi
Hatari sana huyo.Huyo toka Asia ana balaa.. Huyu Rachel Starr nimeshawahi kumsikia ngoja nimsake..
Tuts balance vipi kati ya makuzu ya mtoto, elimu na sehemu ya mila na utamaduni?Siku hizi mabinti wanashindana kutingisha nundu halafu wanadai wanakata uno. bora tu
mila na tamaduni ziendelee ili utaalamu wa uno usipotee kabisa
Yaani ningekuwa admin huyu[TAG]Mzigua90[/TAG]angekula BAN ya mwaka mojaNimesononeka saana.
Ila mbona siku hizi naona viuno ndiyo vimezidi vimesambaa hadi kule kwetu bara... zamani ilikuwa kwenu tuSiwezi baby.. sababu vinakujaga sasa nisipovikata ntakua nafake bby..
Mtoto akitoka 18 Mara nyingi anakuwa A-levels au chuo sasa hapo muda wa kumfundisha haya unakuwa mdogo pia wa kufika chuo wengi huo a Nola hizi zimepitwa na wakatiNi heri kubadilisha mpaka mtoto akifikisha miaka 18 at least maana kidogo anakua anajitambua.
Umuhimu ni mkubwa saana.. na hapa ndipo ule msemo wa utamaliza butcher ila nyama ndiyo ile ile hufia.Wanaume mnaona umuhimu wa kukatiwa viuno? Career women wengi ni wabovu katika hili
Haya mafunzo ya mitandaoni si kama ya kule kwetu Kwamtogole kule unawekewa kinu juu na sindano chini ukizembea tu sindano inakuchoma. In short it's more practicalUmuhimu ni mkubwa saana.. na hapa ndipo ule msemo wa utamaliza butcher ila nyama ndiyo ile ile hufia.
Mambo yote yapo mitandaoni ukitoka kazini unajifunza.
Tuts balance vipi kati ya makuzu ya mtoto, elimu na sehemu ya mila na utamaduni?
Kama wamepandwa na mashetaniWanawake wa siku hizi hamna tofauti na midoli ya kichina maana hawachezi hata na wakicheza basi wanacheza mwili wote looooo
Sent using Jamii Forums mobile app
haha we unaonekana hatari sana kwenye show za kibabe kwa style hizo nywila za banki akaunti na mpesa unapata bila nguvu ndio mana watu wanafail kulast long dakika 2 wazungu haoKwanza ulikuwa kukata bound inasaidia weight control maana ni zoezi lile
Unafikiria kuendeleza mila watot mafunzo wafikiriwe malipo stahiki ili wapate moyo wa kuendelea na kazi?Wote tufanye majukumu yetu kisawasawa. Yaani mila na utamaduni jukumu la wazazi na jamii (shuleni walimu wanatoa support tu katika hili); Elimu walimu jukumu la walimu (wazazi na jamii wanatoa support katika hili)