technology behind Cross media bar software on Playstation 3

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,348
3,229
Wadau niaje?

Wataalamu wa technology naomba mnisaidie kuhusu hii operating system ya playstation 3,, as nimependa sana inavyochanganya pictures kwenye picture mode..

Also niliconnect my playstation 3 kwenye broadband internet and log on playstation network niliyoyaona mule yanatisha as ni balaaa.. We talk nicely more than skype, chat on social network while playin games and so many mores...

Nimeshindwa ku download applications zake so that I can add value on my playstation 3..

Wenye details na mnaojua vizuri kuhusu hii system Cross media bar waliyotumia sony kwenye playstation 3 naomba mnieleweshe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom