TECHNOL GONGO LA MBOTO polen sana

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
WanaJF ninawapa pole sana kwa kile kilichotokea jana GONGO LA MBOTO mana hal ni mbaya sana. Kwa jins inavyoelezewa na jins nilivyoona ninawapa pole sana marafik ndugu jamaa na watanzania wenzangu waliokuwa wanaish huko. Mpe pole mwenzio co kuandika komputer imefail nini 2uu sawa
 
Back
Top Bottom