Natoa suluhisho la usafiri kwa wakazi wa Gongo la Mboto

malela.nc

Senior Member
Nov 24, 2013
172
250
Habari wadau,
Kwa wakazi wa Gongo la mboto na viunga vyake, wanaofanya kazi Posta, kutokana na usafiri wa umma kuwa na changamoto sana. Nahitaji watu wanne (4) ambao wanafanya kazi Posta niwe nawapeleka kazini asubuhi saa 06:30 na kuwarudisha nyumbani baada ya kazi saa 16:00. Nkipata wa ofisi moja itapendeza zaidi. Natangiliza shukrani zangu
NB: Mjuze na mwenzio asiteseke tena.

MENGINEYO.
1. Ada ni 5,000 kwa siku yaani ni kwenda na kurudi.
2. Gari itaondoka 06:30 asubuhi Gongo la Mboto hivyo muda uzingatiwe.
3. Malipo yatafanyika kwa week yaani 25,000/=
4. Jumamosi na Jumapili sitafanya kazi.
5. Gari nayotumia ni IST

MAWASILIANO.
0675 404145
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,867
2,000

Ila angalia kuna wale wanaojifanyaga ni abiria kumbe unapelekwa YARD.. Huko kuna fine za maana ... Maana hujasajiliwa kufanya hayo
 
Edzone

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
956
1,000

Haaaaaa kuna kuingia mitini jaman
 
malela.nc

Senior Member
Nov 24, 2013
172
250
Ila angalia kuna wale wanaojifanyaga ni abiria kumbe unapelekwa YARD.. Huko kuna fine za maana ... Maana hujasajiliwa kufanya hayo
Ila angalia kuna wale wanaojifanyaga ni abiria kumbe unapelekwa YARD.. Huko kuna fine za maana ... Maana hujasajiliwa kufanya hayo
Gari imesajiliwa kufanya huduma hizo na ina vibali vyote kisheria.
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
52,006
2,000
Habari wadau,
Kwa wakazi wa Gongo la mboto na viunga vyake, wanaofanya kazi Posta, kutokana na usafiri wa umma kuwa na changamoto sana. Nahitaji watu wanne (4) ambao wanafanya kazi Posta niwe nawapeleka kazini asubuhi saa 06:30 na kuwarudisha nyumbani baada ya kazi saa 16:00. Nkipata wa ofisi moja itapendeza zaidi. Natangiliza shukrani zangu
NB: Mjuze na mwenzio asiteseke tena.

MENGINEYO.
1. Ada ni 5,000 kwa siku yaani ni kwenda na kurudi.
2. Gari itaondoka 06:30 asubuhi Gongo la Mboto hivyo muda uzingatiwe.
3. Malipo yatafanyika kwa week yaani 25,000/=
4. Jumamosi na Jumapili sitafanya kazi.
5. Gari nayotumia ni IST

MAWASILIANO.
0675 404145
sisi tupo kumi ofisi moja
 
mwaki pesile

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
328
500
Habari wadau,
Kwa wakazi wa Gongo la mboto na viunga vyake, wanaofanya kazi Posta, kutokana na usafiri wa umma kuwa na changamoto sana. Nahitaji watu wanne (4) ambao wanafanya kazi Posta niwe nawapeleka kazini asubuhi saa 06:30 na kuwarudisha nyumbani baada ya kazi saa 16:00. Nkipata wa ofisi moja itapendeza zaidi. Natangiliza shukrani zangu
NB: Mjuze na mwenzio asiteseke tena.

MENGINEYO.
1. Ada ni 5,000 kwa siku yaani ni kwenda na kurudi.
2. Gari itaondoka 06:30 asubuhi Gongo la Mboto hivyo muda uzingatiwe.
3. Malipo yatafanyika kwa week yaani 25,000/=
4. Jumamosi na Jumapili sitafanya kazi.
5. Gari nayotumia ni IST

MAWASILIANO.
0675 404145
utakuwa unawarudisha hadi makwao wote ama kuna kituo maalum utakuwa unawashushia na kuwapakilia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom