Kilichonifanya kushangaa ni yeye kudai alikua amelala ndio maana hakupokea simu wakati whatsapp yake ilikua inaonyesha yuko online
Akiiacha hivyo tuseme hata kwa siku mbili kama chaja na bundle inaruhusu, lakini bila kuigusa simu hata kidogo,
Nami nitaendelea kumuona online tu muda wote huo?
Pole xana mkuu..Dah! sijawahi kutumia kabisa whatsapp!
Dah! sijawahi kutumia kabisa whatsapp!
Hio wassap ni kinywaji gan
ni uji wa ulez uliochanganyw na maziw ya mtindi..Hio wassap ni kinywaji gan
Wadau,
Happy New Year,
Msaada unahitajika please, Last night nilistuka usiku usingizini kama kawaida maana sio mara ya kwanza.
Then hupenda kuangalia saa ngapi kwenye simu, then whatsapp, Jamiiforums, Facebook vyote hupitia kutafuta usingizi.
Sasa basi nilishangaa kumuona Shemeji Yenu yuko "online" kwenye whatsapp muda huo then nikaamua kumpigia kumuuliza kulikoni.
Simu haikupokelewa kabisa, na kwa ushahidi nikarudi kwa whatsapp namba au conversion yake ku-screenshot ile "online" status then nikamtumia although ilionyesha double tick zisizo za bluu kwamba Imefika ila haijasomwa!!
Sasa basi asubuhi alikuja na utetezi kua alikua amelala kweli, ila ile online status ni kwa vile tu alikua akiandika kitu kwa whatsapp then hakumalizia Wala hakuondoka hapo kwenye writing board ndio maana alionekana online.
ngoja nikwambie ukiacha mobile data connected lazima iwe online
kweli kabisa...hata ukiwa kwenye chat wall bado inaonesha upo online sasa kama mtu alichat halafu asitoke na akaacha simu yake akaendelea na shughuli nyngine ataonekana onlineNatumia whatsapp 2 kweny simu yangu,nimejaribu ku fanya kama jamaa alivyosema,ni kweli mtu ukiacha ktk writing board inaonesha upo online