Technically Inawezekana? Online Whatsapp but Mtu Kalala

Technically Inawezekana? Online Whatsapp but Mtu Kalala

Well, technically that is possible. Whatsapp inammark mtu as online kama yuko ndani ya app hiyo kwa muda huo, yani ikiwa activity ile app ya whatsapp ndio iko in focus kwenye simu yake, hata kama akiifungua na kuiacha. Hivyo basi, kutegemeana na screen locking na sleeping policies za simu, kama app hailose focus na haiwi closed when the phone is left untouched for a long time au hata ikiwa imelock screen, then status itabaki kuwa online.

Note: Usiamini sana hivi vitu, they aint perfect.

Alafu madame, when you require technical information or assistance please provide only relevant technical data. Hukuwa na haja ya kueleza kwamba your man amehusika. Hizi irrelevant posts zisingetokea.
 
Well, technically that is possible. Whatsapp inammark mtu as online kama yuko ndani ya app hiyo kwa muda huo, yani ikiwa activity ile app ya whatsapp ndio iko in focus kwenye simu yake, hata kama akiifungua na kuiacha. Hivyo basi, kutegemeana na screen locking na sleeping policies za simu, kama app hailose focus when the phone is left untouched for a long time au hata ikiwa imelock screen, then status itabaki kuwa online.

Note: Usiamini sana hivi vitu, they aint perfect.

Alafu madame, when you require technical information or assistance please provide only relevant technical data. Hukuwa na haja ya kueleza kwamba your man amehusika. Hizi irrelevant posts zisingetokea.

Unataka tujue kuwa na wewe unajua kiinglish.
 
usijipe moyo amekudanganya mwayego,mie mwenyewe nikiwa online nikiona message ya mtu ambaye siitaki kuifungua naisoma pale inapoingia halafu nakuja kuisoma kesho yake,huyo shemeji yetu si mwaminifu.
 
Walipokosea ni kuweka ile "online" na zile tick za blue ndo kabisaaa wameharibu
 
Sasa nachouliza hii kitu inawezekana? Mtu awe kalala lakini whatsapp ionyeshe online Kisa tu aliiacha simu ikiwa kwenye whatsapp sehemu ya kuandikia?

Dada unaonekana una wivu halafu ni mtemi kwa mwanaume, halafu maneno mingiii!
 
Ina maana unataka kumtawala hata kuingia mitandao ya jamii akuombe ruhusa? Acha upuuzi hata aliyemzaa hajawahi kufanya hiyo. Kwanza hujamuoa ndo maana hata hamkuwa pamoja japo unasema semeji yenu!!!. Jirekebishe na aina hii ya wivu. Utaachika saaana. Hakuna tena wanawake wa kukuomba ruhusa kabla ya kuingia mtandaoni. Aaaibu !! Hata wewe !!!!!!

pamoja na kelele zako zoooote lakini muoaji ni mwanaume na akiamua asikuoe hakuoi na ukisha chuja huolewi tena! Hakuna mwanaume anae penda mwanamke asiye tekeleza majukumu yake sababu ya mahaba na mitandao, na kwa akili yako nadhani wewe ndio utaachika sana maana unaonekana utakuwa na mahaba na mitandao kuliko kulinda ndoa yako, waulize wenzio wenye tabia kama yako.
 
Dada unaonekana una wivu halafu ni mtemi kwa mwanaume, halafu maneno mingiii!

hakuna mapenzi ya dhati yasiyo na wivu acheni unafiki wenu. Labda kama chapa ilale hapo hata mie sinaga wivu hata nimkute anachati usiku wa matisa.
 
Nilimpigia that time kumsalimia but Hakupokea,
Only that

dadaangu achana na maneno ya mishangingi ya mtaani iinayo dhani mapenzi ni drama, kwa wivu huo hakika unampenda mpenzio, hakuna mapenzi ya dhati yasiyo kuwa na wivu labda kama mmekutana wote makahaba.
 
usijipe moyo amekudanganya mwayego,mie mwenyewe nikiwa online nikiona message ya mtu ambaye siitaki kuifungua naisoma pale inapoingia halafu nakuja kuisoma kesho yake,huyo shemeji yetu si mwaminifu.

acha uchonganishi on line inawezekana hata kma haupo online ili mrad uwe kwenye writing bord ya whatsup.
 
kwann hamutuambii kwanza hiyo whatsapp ndio nn ili twende sawa ???????????????????????
 
Back
Top Bottom