Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,146
- 1,318
Zombie lingine hili hapa, we ni sehemu ya serikali? Wananchi wanamchagua tu Rais, Rais ndiyo anaunda serikali ili imsaidie kutekeleza aliyowaahidi wananchi.Serikali ni wananchi, wananchi wanataka kutekwa wanapinga hoja za Gwajima😁
Kwa haya yanayo endelea hapa nchini, una uhakika amani unayoiongelea ndiyo hii tunayo ishuhudia??
Heshima haiwezi kuwa kisingizio cha kukubali mamlaka dhalimu au maamuzi yasiyo na haki.
Ulicho maanisha hapo, no matter, watu wasio kuwa na hatia wataendelea kutekwa na kuuawa kila siku...????
Kwenye haki yangu!! Hiyo nchi yenu mmejazwa uoga vichwani mwenu..We umeandika nini, jaribu kushindana na serikali km kwl ni uvundo
Nakubali.Kwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi[emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
ExactlyNakubali.
Maslahi ya kina Gwajiboy yasituvurugue Nchi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani uendelee kuikandika simba
Hatuchezi... 😀 😀Kwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi[emoji23]
MKuu hii ni akili kubwa...yenye PhD.... huwezi ELEWA we standard 7[emoji23]Nimekudharau hapo chini na hilo li neno lako la hatuchedhii...hivi mkicheza mtaweka wapi sura zenu...acheni uzoba....
na li emoji la kucheka la nini sasa kwenye vitu siriaz...
Wacha magwajima yaendelee kugwajimika...Kwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi[emoji23]
Huna Akili weweKwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi[emoji23]
Phd ya kucheka cheka labda....MKuu hii ni akili kubwa...yenye PhD.... huwezi ELEWA we standard 7[emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Labda exposure ya kubeba kombe la mtofyo (aluminum)[emoji23]Phd ya kucheka cheka labda....
Mimi nakuzidi kila kitu elimu..exposure wewe mlima ndizi wa mbarari....