Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,475
- 5,900
Wa kiume wewe hebu jikaze basi, mbona unaandika vitu mchele mchele. Amani, amani, amani ya nyokooo. Watanganyika wangapi wamepotezwa kwa kusema na kudai haki yao ya msingi iliyopo kwenye katiba. Freedom of Expression ni haki ya kila raia wa Tanzania na Tanganyika lazima uelewe hilo. Kila mtu ana haki ya kukataa maovu kwenye jamii yake kama alivyofanya Gwajima, hakuna anayeshindana na serikali kwa maana serikali ni watu na watu ndio serikali. Fungua bongo zako.As long as itapelekea kulinda aman ya nchi ....sio mbaya
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unayumishia msuli gavoo ww ww haya halafu upo kwa dini huku ulitia sain dini haiendani na siasa sijui jibu ni lipi hapoWatakachokuja nacho baadae baada ya huo msako ni kumsingizia kuwa wamemkuta na madawa au kitu chochote haramu..
Stay tuned.
If mwaka 2011, egypt wananchi kuingia mtaani baada ya serikal iliyoukuwa onevu na gandamizi kwao, mabadiliko yasingefanyikaSometimes it's better kuwa mnyonge mkuu......mambo ya kupambana haki ndo yanasababisha kuvuruga utengamano
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Serikali ni watu bila watu hakuna serikali..Then ikawa civil wars
Amani tuilinde no matter what
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Manara alishasema yanga hamna akili. Sasa wewe utopolo unaendelea kufanya wenzio waendelee kuoneka hamna akili kwelikweli.Kwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Walipigwa risasi hadharani, mkewe alikutwa na pair 3000 za viatu!Soma historia ya Romania.
Ceacescu aliyekua rais na mke wake aliyekua makamu wa rais hawakuanini macho yao.
We ni serikali? Shule ulienda kufanya niniNimekudharau mwananchi mwenzangu.
Serikali ni watu,
We kwl hujielewi rudi darasaniNimekudharau mwananchi mwenzangu.
Serikali ni watu,
Yanga imepambania uhuru wa nchi mkuuManara alishasema yanga hamna akili. Sasa wewe utopolo unaendelea kufanya wenzio waendelee kuoneka hamna akili kwelikweli.
Urusi nayo ni nchi tena kubwa kuliko nchi zote dunianiPale mwajiriwa anapomtambia mwajiri.Kila nikitazama naona tupo Urusi
We ni ZombiePale mwajiriwa anapomtambia mwajiri.Kila nikitazama naona tupo Urusi
Umerogwa liniKwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
We umeandika nini, jaribu kushindana na serikali km kwl ni uvundoSikutegemea Mtu kama wewe kuandika huu UVUNDO Hapa
Achana na hao wapumbavu wasiojielewa
Msemaji wenu Manara hajui hilo, yeye anajua hamna akili tuu.