Technically, huwezi shindana na serikali, never

Sometimes it's better kuwa mnyonge mkuu......mambo ya kupambana haki ndo yanasababisha kuvuruga utengamano

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sasa ili amani iwepo lazima wenye mamlaka waitengeneze kwa kututawala kwa haki na usawa.. Wala hutoona wala kusikia vurugu kamwe. Ila kwa sasa huwez kunambia nisidai haki yangu wakati kuna ndugu zangu wamepotea
 
Taka
Taka akilin mwako pamejaa mavi matupu ,ulienda chuoni akaacha akili ukaondoka na kinyesi?
 
Siasa ni maisha ya mtu so cool siasa itakufata hadi kwenye hicho kitanda cha kunguni nao watamuliwa na wanasiasa wakuume hadi uamke useme rais kunguni wamekuwa janga
 
Watakachokuja nacho baadae baada ya huo msako ni kumsingizia kuwa wamemkuta na madawa au kitu chochote haramu..
Stay tuned.
 
Amani ya nchi iianzie ngazi ya familia I mean wale wanaoteswa na kukandamizwa wawe huru
 
Technicaly unaweza, but lazima uwe na immense resources
 
Technical huwezi shindana na serikali ya kidikteta kwenye kesi ya kudai haki
 
Sometimes it's better kuwa mnyonge mkuu......mambo ya kupambana haki ndo yanasababisha kuvuruga utengamano

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sasa unaonaje ungewashauri wenye mamlaka kufuata misingi ya utawala bora na haki sawa kwa wote. Ili pasiwepo na raia anayedhulumiwa haki yake..
Wakifanya hvyo hutoona vurugu kamwe na amani itakuwepo.. Mimi si mtu wa siasa ila naumia na kupotea kwa ndugu zetu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…