Technical support on word document

mafuru

JF-Expert Member
May 26, 2014
363
170
JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU WA DHATI NILITENGENEZA WORD DOCUMENT NA NIKAIWEKEA PASSWORD NA NIMEISAHAU PASSWORD NAOMBENI MSAADA WENU NIFANYAJE NA UKIZINGATIA NI SENSITIVE DOCUMENT OF MINE
MWENYE WAZO LOLOTE JUU YA HILI SWALA TAFADHALI SANA NAOMBENI MNISAIDIE NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI
NAMBA YA SIMU NI 0716891053 AU 0762547246
EMAIL; mafuruelias@gmail.com
nakaribisha mchango wenu karibuni
 

mafuru

JF-Expert Member
May 26, 2014
363
170
Ngoja ndo nimeidownload hapa Nataka niitumie. Then ntakupa feedback
Thanks sana bro
 

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,674
2,000
nouma, program za ku-crack OFFICE FILES huwa zina scann tuuu masaa nenda rudi bila mafanikio. tena angalia usitapeliwe kuna baadhi ya program/website za na scann document yako then inakuambia imepata password sasa lipia hapo ndio utakapolizwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom