TEC yawashangaa UKAWA

TEC yawashangaa UKAWA

Kwani huyu Askofu ndio msemaji wa TEC??!! Acheni kuchafua imani za watu kwa kutumia mawazo ya mtu mmoja ambayo sio official....Huyu askofu ameeleza mawazo yake kwa mapenzi ya lichama lake na sio msimamo wa TEC.....Huyu ni kama yule askofu mwingine alisemaga "Kikwete ni chaguo la Mungu". matokeo yake leo hii yuko wapi?? kutoka Askofu msaidizi wa JIMBO KUU DSM hadi askofu wa kawaida huko jimboni kwake kwa mishomire......CHEZEA KANISA WEWE!!!!

MODS: badilisha headline ya uzi huu kwa kuondoa TEC.
 
Anajuawaje hawakumwambia! Kama alikataa kuwakbalia anataka nao wanyamaze eti tu kwa kuwa walikuwa na kikao na raisi! Huyu asikofu wa jumbo LA rulenge-ngara c ndiye aliyetoa tamuko LA kuwalaan ukawa akiwa na pinda pale iringa? Nani haju msimamo wa huyu askofu? Hawa ndo tunaita mkanjanja hawa! Ukimusikia redio kwizera tu utagundua huyu no MTU wa namna gani! Na yuko upande UPI! Tafadhari asitumie mwvuli wa uaskofu kwa. Masilai ya chama chako.kuwa makini na kauli zako wewe no kiongozi wa wananchi wenye itikadi tofaiti! Be care askofu usijiingize kwenye migogoro bure kwa kusaka vyeo,pesa na huruma za watawala eti tu uonekane mwena!
Muumini wako jumbo LA lulenge-ngara kagera

Nadhani wewe ndio Kanjanja, unamkashifu Askofu kwa sababu ya uelewa wako mdogo au pia unatumia ushabiki na mapenzi yako kwa UKAWA bila kufikiri.

Kama UKAWA walimwambia Raisi kwenye kikao na akakataa, kwanza kwa nini waliafiki makubaliano wakati madai yao hayajakubaliwa? Na pili kwa nini waiofanya press conference na waaandishi wa habari baada ya hayo makubliano yao hawakusema kuwa dai lao la kusitisha katiba mara moja wamemwambia Raisi na limekataliwa?

Jaribu kuwa critical thinker na siyo unakurupuka tu na kumkashifu mtumishi wa mungu kutokana na uwezo wako mdogo wa ku analyze mambo!
 
bora MUNGU akunyime pesa akupe busara na akili makubaliano ya ukawa na JK ni kwamba ifikapo 4 octoba bunge maalumu la katiba wasitishe shughuli za kupiga kura zoezi hilo liendelee mwaka 2016 kwa kifupi kinachopingwa na ukawa ni unajisi unaendelea kule bungeni kwa sababu uwezekano wa kupata katiba hamna tena kwani nn hao wajumbe wa ccm waendelea kuchezea pesa zetu JK angekuwa na maamuzi magumu baada ya kumaliza mazungumzo tuu angetoa amri ya kusitisha bunge la katiba JK alikuwa nia njema ya kutuachia katiba mpya bahati mbaya wenzake ccm hawakutaka kwa sababu walijua katiba mpya ikipatikana ndo tamati ya ccm itakuwa imefika TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA

Naona kama hamna ulichojibu hapo, ulichoandika wewe ndio swali ambalo huyo Askofu ameuliza, kama UKAWA walijua hayo kwamba bunge kuendelea ni kutumia hela vibaya kwa nini wasingemwambia Raisi walipokutana nae badala ya kuitisha maandamano. Kama walimwambia akakataa, kwa nini hawajasema na kwa nini walikubali kusaini maridhiano?
 
Serikali iwe makini na magaidi wa UKAWA,watavuruga hii nchi mkiendelea kuwachekea.
 
Serikali iwe makini na magaidi wa UKAWA,watavuruga hii nchi mkiendelea kuwachekea.
 
Nadhani wewe ndio Kanjanja, unamkashifu Askofu kwa sababu ya uelewa wako m Deedogo au pia unatumia ushabiki na mapenzi yako kwa UKAWA bila kufikiri.

Kama UKAWA walimwambia Raisi kwenye kikao na akakataa, kwanza kwa nini waliafiki makubaliano wakati madai yao hayajakubaliwa? Na pili kwa nini waiofanya press conference na waaandishi wa habari baada ya hayo makubliano yao hawakusema kuwa dai lao la kusitisha katiba mara moja wamemwambia Raisi na limekataliwa?

Jaribu kuwa critical thinker na siyo unakurupuka tu na kumkashifu mtumishi wa mungu kutokana na uwezo wako mdogo wa ku analyze mambo!

Ha ha mbona misuli imekusimama bibie! Unajua walikibalia mambo gani? Au unakurupuka tu! Hilo LA kusitisha binge ndo lilikiwa na mvutano mkubwa mpaka rais akakasilika nakutaka kuondoka,ukawa wakamwbia back sisi tunaenda kwa wananchi! Alafu wewe unakurupuka tu
 
Jamani hivi ile ilikuwa ni ukawa ama huyu askofu kajichanganya?. Cheo sikuizi ni mwenyekiti wa ukawa? Nadhani heshima ya askofu hapa inashuka
 
Ha ha mbona misuli imekusimama bibie! Unajua walikibalia mambo gani? Au unakurupuka tu! Hilo LA kusitisha binge ndo lilikiwa na mvutano mkubwa mpaka rais akakasilika nakutaka kuondoka,ukawa wakamwbia back sisi tunaenda kwa wananchi! Alafu wewe unakurupuka tu

Sasa kama hawakukubaliana kwa nini UKAWA walikubali kusaini makubaliano, makubaliano gaani wakati jambo la msingi hawajakualiana?
 
Baada ya nchi hii kuonekana ina rasilimali nyingi mabeberu bila shaka wako kazini na vibaraka wao kuisambaratisha nchi ili wajiokotee railimali za nchi yetu. Hebu fikirieni,... ukawa ni nini hasa kama sio mwanzo wa fujo. kwanza cdm walikua wakiimba katiba mpya lazima. sasa wameona mpango wao wa kuvunja taifa kwa kisingizio cha katiba mpya umezimwa wamerukia mambo mengine kama kutaka mchakato ufutwe. la msingi wanajitahidi kufanya siasa yoyote inayoweza kuwapatia umashuhuri bila kujali mstakabali wa taifa.
 
Sasa kama hawakukubaliana kwa nini UKAWA walikubali kusaini makubaliano, makubaliano gaani wakati jambo la msingi hawajakualiana?
Weka nakala hapa na hizo saini zao namimi niweke zangu tuone walikubaliana mambo gani! Tatizo unaamini ya cheo Huyo kada wenu! Kweli were nikaputo
 
Hata kama nikiwa maiti,bado maiti yangu itawakataa ukawa.(umoja wa katiba ya walafi)
 
Hivi kichwa cha habari mbona hakielezi habari yenyewe? Mtoa post...TEC ina msemaji wake na huwa ni baada ya vikao halali...sasa kuhusu hilo ka Severin kasema binafsi wala hajakaa na mtu yeyote kwa hivyo ni mawazo yake sio ya TEC...over
 
UKAWA kutokana na uchanga wao wengi tulitarajia kitu kama hiki ("nusu ushindi"/sare) kingewatokea na wala si aibu.

Kwa yoyote aliyekuwa akilifuatilia "gemu" kwa karibu atakubaliana nami kuwa kuna wakati UKAWA wanaonekana kuwa walikuwa wanataka "kucheza" lakini hawakuweza (hawakuwa na uwezo?).

Kivyovyote vile wamejaribu, je Maaskofu wao wamewafanyia Watanzania kitu gani?
Wamefanya nini zaidi ya kudandia hoja ya Kubenea?
Kweli mkono wa Maaskofu unaweza kukosekana katika kuuharibu mchakato?

Wangekaa kimya tu...
 
`Ukawa inatisha ,yaani hata hawahusiki lakini wajamaa ile kutetemeka yao wanaona UKAWA wamo ,wacheni kuweweseka wakati hata usingizi bado ,mnajaribu kupapasa kuwatafuta UKAWA walipo !
 
TEC ina njia zake za kutoa taarifa, msitake kuwaingiza kwenye mtafaruku wenu wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom