TEC yawashangaa UKAWA

TEC yawashangaa UKAWA

Mdachi Simple

Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
11
Reaction score
3
TEC YAWASHANGAA UKAWA

Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Severine Niwemugizi, alisema Ukawa walikuwa na kikao cha maridhiano na Rais Kikwete, hivyo walikuwa na nafasi ya kumtaka asitishe Bunge. Alisema badala yake walitoka kwenye kikao hicho na kuanza kulalamikia wananchi huku wakiwaambia waandamane ikiwa Rais Kikwete atashindwa kusitisha shughuli hizo.

"Inashangaza kuona Ukawa wanalalamika nje ya kikao wakati walikuwa na nafasi kubwa ya kumwambia Rais Kikwete asitishe Bunge mara baada ya kumalizika kwa kikao chao, badala yake wameamua kuja kwa wananchi na kuanza kulalamika.

"Kwani katika hicho kikao hawakuwa na makubaliano? Na kama ni hivyo kwanini walikubali kutumia Katiba ya mwaka 1977 kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu mwakani?" alihoji. Alisema katika kikao hicho Ukawa na Rais Kikwete waliingia makubaliano ya kusitisha mchakato wa Bunge hadi mwaka 2016 ikiwa Rais ajaye atakubali kuendelea nao.

"Nimewashangaa sana wajumbe wa Ukawa, kwa sababu walikuwa na nafasi kubwa ya kuwasilisha malalamiko yao kwa Rais na
kuingia makubaliano ya kusitishwa kwa shughuli hizo, lakini baada ya hapo wanakuja kwa wananchi na kuanza kulalamika huku wakidai kuitisha maandamano, kwani hawakuwa na nafasi ya kumwambia rais malalamiko yao," alisema.
 
Lengo la ukawa ni kutuletea vita,watafanya jitihada zote ili wafanikiwe.
 
TEC YAWASHANGAA UKAWA

Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa
Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Askofu
Severine Niwemugizi, alisema Ukawa
walikuwa na kikao cha maridhiano na Rais
Kikwete, hivyo walikuwa na nafasi ya
kumtaka asitishe Bunge.
Alisema badala yake walitoka kwenye kikao
hicho na kuanza kulalamikia wananchi
huku wakiwaambia waandamane ikiwa Rais
Kikwete atashindwa kusitisha shughuli hizo.

“Inashangaza kuona Ukawa wanalalamika
nje ya kikao wakati walikuwa na nafasi
kubwa ya kumwambia Rais Kikwete asitishe
Bunge mara baada ya kumalizika kwa kikao
chao, badala yake wameamua kuja kwa
wananchi na kuanza kulalamika.

“Kwani katika hicho kikao hawakuwa na
makubaliano? Na kama ni hivyo kwanini
walikubali kutumia Katiba ya mwaka 1977
kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
na Uchaguzi Mkuu mwakani?” alihoji.

Alisema katika kikao hicho Ukawa na Rais
Kikwete waliingia makubaliano ya kusitisha
mchakato wa Bunge hadi mwaka 2016 ikiwa
Rais ajaye atakubali kuendelea nao.

“Nimewashangaa sana wajumbe wa Ukawa,
kwa sababu walikuwa na nafasi kubwa ya
kuwasilisha malalamiko yao kwa Rais na
kuingia makubaliano ya kusitishwa kwa
shughuli hizo, lakini baada ya hapo
wanakuja kwa wananchi na kuanza
kulalamika huku wakidai kuitisha
maandamano, kwani hawakuwa na nafasi
ya kumwambia rais malalamiko yao,”
alisema.

Anajuawaje hawakumwambia! Kama alikataa kuwakbalia anataka nao wanyamaze eti tu kwa kuwa walikuwa na kikao na raisi! Huyu asikofu wa jumbo LA rulenge-ngara c ndiye aliyetoa tamuko LA kuwalaan ukawa akiwa na pinda pale iringa? Nani haju msimamo wa huyu askofu? Hawa ndo tunaita mkanjanja hawa! Ukimusikia redio kwizera tu utagundua huyu no MTU wa namna gani! Na yuko upande UPI! Tafadhari asitumie mwvuli wa uaskofu kwa. Masilai ya chama chako.kuwa makini na kauli zako wewe no kiongozi wa wananchi wenye itikadi tofaiti! Be care askofu usijiingize kwenye migogoro bure kwa kusaka vyeo,pesa na huruma za watawala eti tu uonekane mwena!
Muumini wako jumbo LA lulenge-ngara kagera
 
Hapa tunahangaishwa na waganga njaa tu wakifika kwa kikwete wanakalia kunywa juisi tu wakitoka huko ndo wanaanza kuhangaisha wananchi inasemekana kule kwenye mkutano na raisi walisema mchakato unaoendelea ni halali
Ngoja tusubiri video ya kikao ndo itawaumbua
 
Anajuawaje hawakumwambia! Kama alikataa kuwakbalia anataka nao wanyamaze eti tu kwa kuwa walikuwa na kikao na raisi! Huyu asikofu wa jumbo LA rulenge-ngara c ndiye aliyetoa tamuko LA kuwalaan ukawa akiwa na pinda pale iringa? Nani haju msimamo wa huyu askofu? Hawa ndo tunaita mkanjanja hawa! Ukimusikia redio kwizera tu utagundua huyu no MTU wa namna gani! Na yuko upande UPI! Tafadhari asitumie mwvuli wa uaskofu kwa. Masilai ya chama chako.kuwa makini na kauli zako wewe no kiongozi wa wananchi wenye itikadi tofaiti! Be care askofu usijiingize kwenye migogoro bure kwa kusaka vyeo,pesa na huruma za watawala eti tu uonekane mwena!
Muumini wako jumbo LA lulenge-ngara kagera

Tulitegemea UKAWA waseme Rais Kakataa kuvunja Bunge lakini wanakuja na hoja ya kutaka wananchi waende barabarani!
 
Kiujumla inabidi ukawa wawaeleze watanzania ukweli, nini kilijiri kwenye kikao chao na rais? Je hoja ya kuahirisha bunge la katiba ilikuwaje?
 
Kwani huyu Askofu ndio msemaji wa TEC??!! Acheni kuchafua imani za watu kwa kutumia mawazo ya mtu mmoja ambayo sio official....Huyu askofu ameeleza mawazo yake kwa mapenzi ya lichama lake na sio msimamo wa TEC.....Huyu ni kama yule askofu mwingine alisemaga "Kikwete ni chaguo la Mungu". matokeo yake leo hii yuko wapi?? kutoka Askofu msaidizi wa JIMBO KUU DSM hadi askofu wa kawaida huko jimboni kwake kwa mishomire......CHEZEA KANISA WEWE!!!!
 
Ukawa kituko kweli watu hawa hawajitambui kabisa nini wanachofanya.
 
Kwani huyu Askofu ndio msemaji wa TEC??!! Acheni kuchafua imani za watu kwa kutumia mawazo ya mtu mmoja ambayo sio official....Huyu askofu ameeleza mawazo yake kwa mapenzi ya lichama lake na sio msimamo wa TEC.....Huyu ni kama yule askofu mwingine alisemaga "Kikwete ni chaguo la Mungu". matokeo yake leo hii yuko wapi?? kutoka Askofu msaidizi wa JIMBO KUU DSM hadi askofu wa kawaida huko jimboni kwake kwa mishomire......CHEZEA KANISA WEWE!!!!
Yes yeye ndiye msemaji wa TEC hutaki unaacha ukawa hawajitambui.
 
bora MUNGU akunyime pesa akupe busara na akili makubaliano ya ukawa na JK ni kwamba ifikapo 4 octoba bunge maalumu la katiba wasitishe shughuli za kupiga kura zoezi hilo liendelee mwaka 2016 kwa kifupi kinachopingwa na ukawa ni unajisi unaendelea kule bungeni kwa sababu uwezekano wa kupata katiba hamna tena kwani nn hao wajumbe wa ccm waendelea kuchezea pesa zetu JK angekuwa na maamuzi magumu baada ya kumaliza mazungumzo tuu angetoa amri ya kusitisha bunge la katiba JK alikuwa nia njema ya kutuachia katiba mpya bahati mbaya wenzake ccm hawakutaka kwa sababu walijua katiba mpya ikipatikana ndo tamati ya ccm itakuwa imefika TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA
 
Kuharisha kikao ni jukumu la la Mwenyekiti,Kamati ya Uongozi na Wajumbe wenyewe wajipime wanafanya nini mpaka sasa pale Dodoma! Watumie busara ndogo kwamba baada ya Uchaguzi Mkuu atakuja Rais mpya na Bunge jipya! Hawa watatafuta muhafaka mpya jinsi ya kuandikwa kwa Katiba ya Maridhiano.

Nakua nataraji Askofu wangu yeyote wa Kikatoliki ajadili mambo magumu na jinsi ya kuyatatua siyo huu ujinga kama naye ni msaka tonge! Kinacho fanyika Dodoma ni Vikao vya CCM na washirika wao akina Cheyo na Mrema! Baada ya Ukawa kutoka nje kinachoendelea ni wizi wa pesa za Watanzania. Ni aibu unaungwa mkono na Askofu mwenye hadhi kama Niwemugizi. Si kila jambo kumtegemea JK atoa amri wakati busara hata ya Nyumbu ingewaelekeza wasaidizi wake kwamba hii siyo!!
 
Yes yeye ndiye msemaji wa TEC hutaki unaacha ukawa hawajitambui.

Usilazimishe vitu visivyo na kichwa miguu.....tunataka official "PRESS RELEASE" ya TEC hapa usitake kutumia mgongo wa imani za watu kwa faida zako binafsi......Kwani nani asiyejua CCM ni wezi maarufu kupotosha uongo kuwa ukweli??!!!Halafu mkuu mbona hii thread moja unachangia mara nyingi sana???!!! nina wasiwasi huenda wewe ndiye aliyeianzisha kwa ile ID yako nyingine halafu unajijibu mwenyewe tena......anyaway changamka kaka muda wa kuivuna CCM kwa propaganda za kijinga JF ndio unayoyoma hivyo na lichama yenyewe tushalitupa kaburini tunasubiri kurusha udongo tu....vipi nyumba bado hujamalizia tu kujenga??!!!
 
TEC YAWASHANGAA UKAWA

Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Severine Niwemugizi, alisema Ukawa walikuwa na kikao cha maridhiano na Rais Kikwete, hivyo walikuwa na nafasi ya kumtaka asitishe Bunge. Alisema badala yake walitoka kwenye kikao hicho na kuanza kulalamikia wananchi huku wakiwaambia waandamane ikiwa Rais Kikwete atashindwa kusitisha shughuli hizo.

"Inashangaza kuona Ukawa wanalalamika nje ya kikao wakati walikuwa na nafasi kubwa ya kumwambia Rais Kikwete asitishe Bunge mara baada ya kumalizika kwa kikao chao, badala yake wameamua kuja kwa wananchi na kuanza kulalamika.

"Kwani katika hicho kikao hawakuwa na makubaliano? Na kama ni hivyo kwanini walikubali kutumia Katiba ya mwaka 1977 kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu mwakani?" alihoji. Alisema katika kikao hicho Ukawa na Rais Kikwete waliingia makubaliano ya kusitisha mchakato wa Bunge hadi mwaka 2016 ikiwa Rais ajaye atakubali kuendelea nao.

"Nimewashangaa sana wajumbe wa Ukawa, kwa sababu walikuwa na nafasi kubwa ya kuwasilisha malalamiko yao kwa Rais na
kuingia makubaliano ya kusitishwa kwa shughuli hizo, lakini baada ya hapo wanakuja kwa wananchi na kuanza kulalamika huku wakidai kuitisha maandamano, kwani hawakuwa na nafasi ya kumwambia rais malalamiko yao," alisema.

Wewe ni kenge kweli...hapo Askofu Niwemugizi ameongea kwa Capacity ipi? kwa capacity ya TEC au capacity yake yeye binafsi....Tatizo ukiwa mchawi (CCM) Unakua unataka tu kupindisha mambo.....Pathetic....
 
Back
Top Bottom