TEC yawashangaa UKAWA

TEC yawashangaa UKAWA

Nadhani wewe ndio Kanjanja, unamkashifu Askofu kwa sababu ya uelewa wako mdogo au pia unatumia ushabiki na mapenzi yako kwa UKAWA bila kufikiri.

Kama UKAWA walimwambia Raisi kwenye kikao na akakataa, kwanza kwa nini waliafiki makubaliano wakati madai yao hayajakubaliwa? Na pili kwa nini waiofanya press conference na waaandishi wa habari baada ya hayo makubliano yao hawakusema kuwa dai lao la kusitisha katiba mara moja wamemwambia Raisi na limekataliwa?

Jaribu kuwa critical thinker na siyo unakurupuka tu na kumkashifu mtumishi wa mungu kutokana na uwezo wako mdogo wa ku analyze mambo!
Moja ya matatizo makubwa uliyo nayo wewe ni elimu duni na ujuha kama walivyo Watanzania wengi kugeuza mchakato muhimu kama huu ni ushabiki wa Simba na Yanga. Leo wanatawala watu ambao bila shaka unapata manufaa fulani, kesho wakishika madaraka mahasimu wako utalia kilio cha mbwa koko mwizi! Na utalalumu Katiba mbovu uliyo unga mkono wewe mwenyewe!

Popote ktk nchi zilizopata Katiba nzuri kila kundi moja lilipo jiondoa ktk mchakato walitafuta maridhiano siyo kuupuza na kuendelea na mchakato wa upande mmoja. Kenya ni mfano wa karibu,mwanzo watawala walijidai wababe katiba yao ikakataliwa na wananchi. Tusome sana na kutafuta maarifa badala ya kuja hapa kucomment ujinga mtupu kama hukufuta hata ujinga wa kusoma na kuandika!
 
Usitegemee kila kitu wakusimamie ukawa haya ni madhara yakutosoma rasimu na kutegemea mihemko ya kisiasa,watu makin waelewa cha kufanya kwenye kupiga kura kupitisha katiba au la.kila upande unaumuhimu wake kwa watu makin.katiba si ya ukawa wala ssm au awaye mtu peke yake
 
Huo mtazamo wake Askofu wala si wa TEC. Usitushushie hadhi TEC yetu.
Au umesahau pale ambapo Pengo alitaka serikali 2 ila TEC ikasema maoni ya wananchi (serikali 3) yaheshimiwe?????
Use brain
 
Au umesahau pale ambapo Pengo alitaka serikali 2 ila TEC ikasema maoni ya wananchi (serikali 3) yaheshimiwe?????
Use brain
Watu walizungaka, mapesa yakatumika ila mwisho wa yote ni,
Pengo alitala serikali mbili na ndizo hizo hizo CCM wanazompa.

Chezea mfumo wewe.
 
Kuna watu hata wapewe nini hawaridhiki wameumbwa kupinga na kua kinyume mm sitaki kuamini kua Ukawa ndo wanaakili kuliko wajumbe waliobaki bungeni kwamba bila akili zao katiba haiwezi kupatikana pili naamino wasomi wataalam na wajumbe maakumu wa 201 wana akili timamu na uzuri kinachojadiliwa tunakiona na mwenye akili anakielewa vizuri naona kabsa wazi Ukawa wanagombea point moja tu ambayo inahusu maslahi ya kisiasa na uongozi bila kujali shida za msingibkama elimu, kilimo, afya, haki za msingi usawa wa raia nk. Wao wanashikilia serikali tatu tu.. pumbaaaavu sana. Wataptosha wananchi mazombie wenzao.
 
kama hutaki kuamini huo ni ukorofi, UTAPIGWA!!!!!!

kumbe unafanya makusudi na mnataka kuyaambukiza makusudi hayo kwa wengine!!!!!

nam pm mod anipe ruhusa nikutukane angalau katusi kamoja kwa jina la kinyeo chako.
 
Moja ya matatizo makubwa uliyo nayo wewe ni elimu duni na ujuha kama walivyo Watanzania wengi kugeuza mchakato muhimu kama huu ni ushabiki wa Simba na Yanga. Leo wanatawala watu ambao bila shaka unapata manufaa fulani, kesho wakishika madaraka mahasimu wako utalia kilio cha mbwa koko mwizi! Na utalalumu Katiba mbovu uliyo unga mkono wewe mwenyewe!

Popote ktk nchi zilizopata Katiba nzuri kila kundi moja lilipo jiondoa ktk mchakato walitafuta maridhiano siyo kuupuza na kuendelea na mchakato wa upande mmoja. Kenya ni mfano wa karibu,mwanzo watawala walijidai wababe katiba yao ikakataliwa na wananchi. Tusome sana na kutafuta maarifa badala ya kuja hapa kucomment ujinga mtupu kama hukufuta hata ujinga wa kusoma na kuandika!

Andiko lako imesaidia kuonesha kati yako na mimi nani ana elimu ndogo na uwezo mdogo wa kufikiri. Husikimbilie kutukana bila kujichunguza vizuri.

Hoja niliyojibu hapo juu haikuwa kujadili kama ni BMK kuendelea ni sahihi au siyo sahihi, hoja ilikuwa kuhusu matamshi ya Askofu kuwa kwa nini wajumbe wa UKAWA hawakumweleza Raisi walipokutana nae kuhusu kusitisha BMK maramoja na badala yake wanataka tuandamane?

Wewe unakurupuka na matusi juu na hoja tofauti kabisa, hiyo ndio elimu kubwa uliyonayo mwenzangu?
 
Kuna watu hata wapewe nini hawaridhiki wameumbwa kupinga na kua kinyume mm sitaki kuamini kua Ukawa ndo wanaakili kuliko wajumbe waliobaki bungeni kwamba bila akili zao katiba haiwezi kupatikana pili naamino wasomi wataalam na wajumbe maakumu wa 201 wana akili timamu na uzuri kinachojadiliwa tunakiona na mwenye akili anakielewa vizuri naona kabsa wazi Ukawa wanagombea point moja tu ambayo inahusu maslahi ya kisiasa na uongozi bila kujali shida za msingibkama elimu, kilimo, afya, haki za msingi usawa wa raia nk. Wao wanashikilia serikali tatu tu.. pumbaaaavu sana. Wataptosha wananchi mazombie wenzao.

Bwana Mruma yapo mengi aidha umeyaacha kwa makusudi au kwa kutoelewa. Ukawa hawawezi kuwa na akili kuliko wajumbe wote ila hatuwezi kuwabeza kuwa hawana akili tena kuliko wengi waliobaki bunge maalumu. Ukawa wanasimamia maoni yaliyotoka kwa wananchi yaboreshwe na wabunge na sio kuyaacha kabisa. Wananchi walio wengi walipendekeza serikali tatu sasa wajumbe wa bunge maalumu wasiofikia hata 600 wana uhalali gani wa kukataa serikali tatu za wananchi? Wananchi walitaka iwepo kwenye katiba amri ya wananchi kuwapumzisha viongozi wanaowachagua wanaposhindwa kutimiza majukumu yao kwa wananchi. Walitaka maadili ya viongozi yawepo kwenye katiba, tunu za taifa, wabunge kutokuwa mawaziri na kadhalika. Yote haya wajumbe wa bunge wameyakataa kwa masilahi ya chama chao na wao pia. Tena uelewe sio kweli kuwa kamati ya kukusanya maoni ya wananchi walisahau kuchukua na kuziorodhesha kero za wananchi. Zote zipo ila ziliachwa ziorodheshwe kwenye katiba ya Tanganyika.Kumbuka katiba inayotafutwa kwa sasa ni ya muungano. Elewa pia bunge maalumu kisheria halina mamlaka ya kupokea maoni ya wananchi na muda wake ulishapita toka Warioba alipokabidhi rasimu na ni kamati yake tu kisheria iliyopewa uwezo huo.Kwa hayo machache utaona ni kundi lipi lenye akili zaidi ya lingine. Linalosimamia maoni yaliyotolewa na wananchi au linalojadili machache ya wananchi likichanganya na misimamo ya chama chao.
 
Mi naona bado unaongea mambo ambayo ni sumu mnazolishwa na makongamano huko bila kuangalai nini kinafanyika sasa kama wananchi walipendekeza serikali tatu hayo mambo ya maadili nk. Kwani katiba si itapigiwa kura na wananchi?? Kwanini ukawa wasikae bungeni kupinga hoja kwa hoja na kisha kuwashawishi wananchi kwa hoja za bungeni?? Kwanini wasiingie bungeni kwa umoja wao kupiga kura ya hapana kwa ukawa wao??? Mimi ninaamini kabisa wengi wanaongea hawafuatilii bunge linavyo enda na mchakato unaendaje hata Mbowe na ukawa yao wanajua kabisa wanafanya yote kwa maslahi ya uchu wa madaraka rasimu ya katiba ninayo nimeisoma na katiba ya zamani nimeshaisoma na ninaisoma na pia nafuatilia hatua kwa hatua bunge hili la katiba na nimeona rasimu ya warioba ina mapungufu mengi sana vipaumbele vya wananchi hao unaosema wametoa maoni havikuzingatiwa kama elimu.kilimo..uvuvi na ufugaji afya nk. Soma tena rasimu halafu fuatilia bunge na kama umesikiliza bunge la leo na ukamsikia akichisema Dovutwa nadhani ungeelewa wapi unafki wa ukawa ulipo. Kama wao wanaona ni wanaowakilisha walio wengi tukutane uchaguzi wachukue dola watengeneze katiba yao wawaache walio bungeni wao waende kuipigia kura ya hapana kama wanaona haiko sawa.. mi naona ukawa ni sawa na mtu anayetishia kujamba wakati wanaharisha mngejua kilicho nyuma ya pazia hata watu wasinge hangaika.. wengi waropokaji hata hawafatilii na wengi mi mamluki wanatumwa ama ............
 
Back
Top Bottom