Naomba nimwulize asha rose migiro swali dogo tu
tuchukulie kwamba baraza la maaskofu limewahamasisha wananchi kusema ndyo.. Je.... Asha migiro na serikali yake wangekuja juu?? Au kwa sababu msimamo huu unakinzana na mtizamo wa wanaojiiita watawala na chama??
Wananchi.. Ninaamini viongozi wa dini ndo wanatupeleka kwwnye mstari sahihi kuhusu kura ya katiba
SOTE TUIPIGIE KURA YA HAPANA
... Kwahiyo Mimi Ni Mzalendo.
Pengo yupo sahihi, kama kanisa, majukumu ya maaskofu na mapadre ni kuwa andaa waumini ili watende au wawe watu wema. Hata biblia inasema kwamba mpe kaisari yaliyo ya kaisali na mpe Mungu yaliyo ya Mungu.
Msimamo wa kanisa katoliki dhidi ya waumini upo wazi hasa kwenye maswala mengi ikiwapo na unywaji wa pombe, kwamba muumini anapaswa kutafakari mwenyewe na kutoa maamuzi sahihi. Hata hili la siasa, linapaswa huwa hivyo, waumini watafakari wenyewe kwa kina na kuwa na maamuzi.
Tusipoliona hili huko mbeleni kuna uchaguzi, si watasema kiongozi fulani kwa sababu hizi, msimchague nk?
Unakumbuka Pengo kuna wakati wa BMK aliunga mkono serikali Mbili na akasema ndio msimamo wa Kanisa Je hiyo haki alipata wapi?
Pengo yupo sahihi, kama kanisa, majukumu ya maaskofu na mapadre ni kuwa andaa waumini ili watende au wawe watu wema. Hata biblia inasema kwamba mpe kaisari yaliyo ya kaisali na mpe Mungu yaliyo ya Mungu.
Msimamo wa kanisa katoliki dhidi ya waumini upo wazi hasa kwenye maswala mengi ikiwapo na unywaji wa pombe, kwamba muumini anapaswa kutafakari mwenyewe na kutoa maamuzi sahihi. Hata hili la siasa, linapaswa huwa hivyo, waumini watafakari wenyewe kwa kina na kuwa na maamuzi.
Tusipoliona hili huko mbeleni kuna uchaguzi, si watasema kiongozi fulani kwa sababu hizi, msimchague nk?
Unayosema sio sahihi. Pengo alichokisema ni msimamo wake yeye kama Pengo sio msimamo wa Kanisa. Ukumbuke kuwa Pengo si Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania, yeye ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Kama Askofu naye pia ni mjumbe wa TEC ambayo inaongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania ambaye sio Pengo. Kauli inayotolewa na Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) ina uwakilishi mpana zaidi kwani ni kauli ya Maaskofu wengi zaidi kama sio wote nchini. Pengo anaweza kuwa amepinga kauli ya wenzake lakini haimaanishi kuwa anawakilishi Wakatoliki wote nchini.
Inategemeana kanisa linasimama kama nani kwa wakati huo...kuna wakati kanisa linasimama kama nabii...kwa hiyo linaweza kukwambia kabisa fanya hivi.
Mbona kanisa linapinga kabisa ushoga...tena waziwazi...mbona haliachi watu eti waamue
Kanisa linao uwezo wa kuzuia pale linapoona watu wanapotoka
Kwa kuwa Askofu Seveline Niwemugizi ameamua kujiingiza kwenye Siasa sasa twende kazi. Niwemugizi hana usafi wowote wa kumfanya awe msemaji wa Waumini wa Ki-Katoliki Tanzania kwa sababu zifuatazo:
1. Ametumia mabavu kuhamisha Makao Makuu ya Jimbo kutoka Rulenge kwenda Ngara, bila sababu za msingi na bila ridhaa za waumini. Huku ikisadikika ameamua kufanya hivyo ili kujisogeza karibu na Biharamuro alikozaliwa na kuchukua sadaka na misaada ya wahisani kwa maendeleo yake binafsi na kumuacha Mungu.
2. Jimbo limemshinda kuongoza kwa kutumia Roho ya Ki-Mungu na kuongoza Kondoo wa Mungu, Bali amesababisha mitafaruku ya Kiroho Jimboni. Mapadri wameamua kuwa na Ndoa zisizotambulika na kuongeza watoto mitaani, kama atabisha nitawataja ili kuweka mambo sasa.
3. Misaada yote inayotolewa na wahisani kwaajiri ya kusaidia watoto Yatima wanaolelewa na Masisita aliamua ipitie kwake, wahusika hupata kiasi kidogo sana au wakati mwingine hawapati kabisa.
4. Ameshindwa kumheshimu Mkuu wake Pengo! anafikiri sisi waumini tutamfuata nani?.
5. Alisababisha Dr. Mbasa, ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Biharamuro kukimbia Hospitali ya Rulenge na kukimbilia Biharamuro huku akijua ndiye aliyekuwa Dr. tegemeo katika Hospital hiyo.
Mwisho niseme ya Mungu tumpe Mungu na ya Kaisali apewe Kaisali.

Kanisa linapaswa kuwatenga waumini na uharamia wowote..Kutokuwaambia wazi waumini wachukue njia ipi ni unafiki.
Kwani si unaambiwa wazi kufanya uzinzi ni kosa? Kwanini usiambiwe chagua mwenyewe kufanya uzinzi au kuacha!
Asante TEC...Kura ni HAPANA kwa Katiba Haramu
Inategemeana kanisa linasimama kama nani kwa wakati huo...kuna wakati kanisa linasimama kama nabii...kwa hiyo linaweza kukwambia kabisa fanya hivi.
Mbona kanisa linapinga kabisa ushoga...tena waziwazi...mbona haliachi watu eti waamue
Kanisa linao uwezo wa kuzuia pale linapoona watu wanapotoka
.... Wataanza Kusema Askofu Niwemugizi Eti Siyo Mtanzania, Hahaha. Hakyanani Tutakufa Naye