mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,301
- 4,527
TEC imekuwa ikipinga utekaji ambao umekuwa ukifanywa na CCM, ila CCM yenyewe imekuwa haitaki kupingwa na yeyote kuhusu mambo hayo haramu
TEC imekuwa ikiishauri CCM kuwa, si vizuri wapinzani wakawa ni watu wa kukamatwa na kuswekwa lumande kisa wanaikosoa CCM kwa sababu kufanya hivyo ni kuleta taharuki kwa wananchi, CCM yenyewe kila ikishauriwa hivyo, basi huyo anayeishauri ataanza kuwindwa kama digidigi porini
Kati ya hao wawili, ni nani aliyekuwa akitaka Amani iendelee kuwepo?