WAPENDWA,
hakuna tena dk liki wala shafii dauda wala mziray!yoyote yule provided anakuwa fan wa kuperuuz mitandao![/B][/U]
karibuni sana wakuu,mtuona tukiuza sura na kuosha vinywa ile sana!jf kama kawaida tutairusha na kuipaisha inavyostahili!
chrispin na kaizer tafadhali tukutane hongera bar tutoe nishai kabla ya kazi kuanza
Hahahahaha! Kama unajua kulisakata rumba, vazi si hoja LOL!Mhhhh..... Mmasai kaingia Disco na rubega!
Usiwe na moyo mgumu wa kuamini kama Thomaso. Utakayemuona amezaa mawani ili kuficha makengeza yake ndio hommie wangu Kaizer. Mwenye upara na masikio marefu ndio Teamo la jidume la miraba minne lenye misuli mpaka kwenye pua ndio.........mbavu zangu,kweli ishi uone!!tunawangoja kama kweli
Kombe la kina mama timu yetu ipo. Ntaongea na Tido akukonside, manake huu uchambuzi ulioufanya mwenyewe niko hoi. Hivi Tshabalala anachezea Sauzi au Uruguay?Teamo umesema kitu ambacho hata mie nilikisema jana wakati natizama mechi ya Bafana Bafana na Uruguay. Yaani ni kweli siku hizi kila mtu anajua kulichambua soka la kombe la dunia yaani hata mie ambaye kombe hili la mwaka huu ndio limeniconvince nianze kuuelewa mpira, nitaweza. Si ni kiasi tu cha kujisemesha....Bafana Bafana wanaonekana kuzidiwa kete yaani wanacheza kwa speed ndogo ambayo hailingani na Uruguay kiasi kwamba ni Tshabalala peke yake anayeonekana kukosa wamaliziaji kule golini. Ha ha ha ha ngoja nianze kucla tizi mitandaoni na kukremu majina ya wachezaji.
Hivi kombe la Wanawake linaanza lini vile..........nitume application TBC1 niwe Commentator lol
Wapwaz nitaadeku usiku .....you beta be zea
Mila zinadumishwa mpaka studio. Unakaribishwa sana......Hapa lazima uingie na valuu tatu kichwani....ma- ladies wanaruhusiwa kujiunga na nyie ??
Tune TBC1 leo saa tatu unusu, mimi na makomredi wenzangu tutalidiskasi hilo. Mtoto wa Alaska usisahau kupiga simu kutukumbusha kama memore kadi kumkichwa zitakuwa zimeingiliwa na vairaz vya valuu....KUNA kitu nashindwa kuelewa,mbona team za Africa performance wise zinakwenda backwise,yaani ipambanishe team ya afrika na timu yoyote nje ya africa,no matter how good the african team is,itafungwa tu-tazama cameroun-tazama south africa.ITS TIME sisi waafrika tutafute mchezo mwingine eg RIADHA maana football imetushinda
Mi ntatinga na bukta. Hii miguu ya kichaga wala hainisumbui ninapokuwa kwenye profesheni yangu:hail:Haha haa, i cant wait to see wapwaz wakiuza nyuso TIBITHII 1! mavazi mtavaaje, kaoshi, t-shirt, au mashati ya vitenge yenye nembo ya JF! Kaaz kwelkwel
You are welcome. Bahati mbaya sana leo kwa kina Elizaz. Wazee wa INFIDELITY leo watakuwa bize na mavuvuzela!i will be watching ha ahaaaaaaaa