TeamLowassa hatuna chetu Ikulu!

Kwa jinsi nchi ilipofikia inahitaji Rais 'kichaa' dizaini ya Makongoro.
 

Hiii kitu numesikia wazee wanaongea,sijaelewa kabisa
 
kumbe yule fundi mwashi kweli huwa anajua jua ishu hizi
 
Nguvu ya Umma itampeleka Lowassa Ikulu .. subiri muone ... Huu utawala wa kifalme ktk Afrika utaisha lini? ... So baada ya Makongoro Nyerere ni Hussein Mwinyi au ...
 
ukoo wa panya
 
Mkuu umekula like yangu kwa sababu thread za namna hii ndo zenye mashiko. Unakuta mtu amekazana Lowasa hafaiiiii, halafu hakuna mbadala. Pale huwa nakosa kujuwa sasa ni yupi tumjadili! Sasa huku vijiweni tunaanza kujadili huyu uliyemtaja, yaani Mako.
Sasa ukawa tunajadili nani? Au ndo maayatola wameamua kugombea ubunge tu?
 
Kwa maana hiyo unatuambia kuwa raisi wa tanzania anawekwa, na sio anachaguliwa na watanzani. Uchaguzi huru uko wapi, demokrasia iko wapi, si kikundi cha watu kinamweka mtu wao ili kilinde madlahi yao. Ndio maana siajiandikisha na sitapiga kura. Unatetea upuuzi na wewe. Aibu zako
 
i am here giving you my word. ''Any person, aje from any side, and with any style. Mwaka huu tunakata mzizi wa fitna. If you want to get in consideration with this look n this facts. Wao wenyewe wanavyoumbuana .
OOHH, Huyu mwizi, Mara yule mpole , sijui ni huyu mtoto hajui anachokisema , Mara hao wazee na kauli nyingine ka hizo , nadhani mwaka huu boya la ''KIJANI'' limejaa upepo na kimbunga cha WANANCHI kinavuma baharini . Lets forget them for some time aiseeee.
 
Hata team LOWASA watakuambia confirmed, Na mimi team .... ni confirmed
 
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.

UKAWA madalakani c kwasababu yoyte ila watu kukichoka chama na sera zao
 
Hehe wakimpa Makongoro Nyerere alafu watanzania wampe kura apite ntaona nchi imejaa vichaa...
Huyu jamaa from nowhere kisa ana jina la babake, last name ya Nyerere doesn't make him Nyerere, wengi ndo first time wanamsikia huyu jamaa...
 
Kazi za Rais Nyerere zinajulikana tu kwa wazee na watu wa makamo. Wakati Nyerere anafariki mwaka 1999, mpiga kura wa sasa mwenye umri wa miaka 18, alikuwa mtoto mdogo mwenye umri wa miaka miwili tu. Hivyo kutumia jina la Nyerere kushinda, siyo rahisi kihivyo!
 


Mockery!
 

Kama unajidanganya na Mwinyi na Mkapa umepotea, hao wapo huku:

 
Last edited by a moderator:

Hivi nani kakudanganya kuwa EL anapendwa na watanzania?? Ana kundi lake alilolitengeneza ndio wanaomuunga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…