Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Tatizo la hesabu linajulikana nchi nzima u.know....una hesabu mpya?
hii mpya kabisaa solution itawaacha midomo wazi
Tatizo la hesabu linajulikana nchi nzima u.know....una hesabu mpya?
A good sign as well....
Awwwwwwwww!
Una nia nikose tuzo ya mfanyakazi Bora mwakani au?
Hata ukitumia magazijuto unashindwa kulifumbua fumbo?
Nami nakupenda kwa vyote ulivyo navyo.
Mwaaaaaaaaah!.
Ish mbn umeng'ang'ania hapo Hapo?
Uyo sio mwal wangu ujue....ni muefeso kama mimi tu
Hapana siwezi kabisaaaa
Unajua busu la asubuhi lilivyo tamu?
Nimekuchangamsha ili uchape kazi vizuri ...!!
Kwa hiyo kwa kifupi umeshanielewa, sio?
We jembe....chagua zawadi
Wauuu thanks kwa upendo na moyo wa kutoa zawad
I need gift of prayer only.
Ntakupm ombi langu
Amekuwa mkananayo siku hiz!