Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
mmmmmmmh
Apo inaonyesha umeelewa.
mmmmmmmh
Apo inaonyesha umeelewa.
hahahahahaha nneutunga hapa hapa!
mekumithi kama nini
Huko ndio wanapasahau kabisaaaa akikufunulia huko unaweza dhania kuna gizaaa
umeona eenh?
niweke picha za mfano?
Ukiniona utadhani umeona amoxylin, usoni nna rangi ya papaiYaan mwenye uzi mmeniacha mi nilidhan nikilala nanyi mnalalaa kumbe mnaendeleaaaa khaaa noumaaa,haya nimerud mwenye jipya anipe halaf sijawaona Evelyn Salt na lara 1 mbona siwaon mmejikoboaaa niniii
Kama unajichubua shoga achaaa yaan utakua ukipigwa busu hata husisimki maana ngoz inakomaa utaachwa na babu Asprin
wamejichubua sura zimenyonyoka kama paka mweusi aliyemwagiwa maziwa.....
hayo maandishi niliyohailait ni mojawapo ya kauli zinazotufanya watu weusi tujishtukie rangi zetu na kuamua kuzikimbia. Ingawa ni mweusi na sijajichubua lakini lakini jamii yangu inaona rangi nyeusi ni nuksi. Sasa hapo rangi ya paka na manyoya kunyonyoka na kumwagiwa maziwa vinahusiana vipi? Mtu akikuta paka mweusi barazani kwake anaweza kuamini ni mchawi katumwa. Akikuta mweupe au wa cream anaweza hata kumpa maziwa inagwa hamjui. Hata huyo Bi Chau si ajabu jina lake halisi ni Chausiku. Nakumbuka utotoni nilipata shida sana ya kutaniwa majina ya ajabu ajabu kisa mweusi. kama si kutiwa moyo na walezi si ajabu na mimi leo ningekuwa mmoja wapo wa wanaopigwa mawe humu. Tuwazodoe kina bi chau lakini tusisahau kuwasifia watoto na wadogo zetu juu ya ngozi zao na maumbile yao.
Kula malaiki ya kutosha.....btw mkuu wewe ni mchaga? Maana kule watu weusi ni wachache. Najiuliza ulikulia kwenye mazingira gani ambayo weusi ni kitu cha ajabu hadi kupewa majina...
ha ha ha ha ha usihofu hayo maneno .pole kama yamekuumizahayo maandishi niliyohailait ni mojawapo ya kauli zinazotufanya watu weusi tujishtukie rangi zetu na kuamua kuzikimbia. Ingawa ni mweusi na sijajichubua lakini lakini jamii yangu inaona rangi nyeusi ni nuksi. Sasa hapo rangi ya paka na manyoya kunyonyoka na kumwagiwa maziwa vinahusiana vipi? Mtu akikuta paka mweusi barazani kwake anaweza kuamini ni mchawi katumwa. Akikuta mweupe au wa cream anaweza hata kumpa maziwa inagwa hamjui. Hata huyo Bi Chau si ajabu jina lake halisi ni Chausiku. Nakumbuka utotoni nilipata shida sana ya kutaniwa majina ya ajabu ajabu kisa mweusi. kama si kutiwa moyo na walezi si ajabu na mimi leo ningekuwa mmoja wapo wa wanaopigwa mawe humu. Tuwazodoe kina bi chau lakini tusisahau kuwasifia watoto na wadogo zetu juu ya ngozi zao na maumbile yao.