Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Njia kuu tumeiachia treni.
Atiii...???
Njia kuu tumeiachia treni.
Nimefanyaje swiry
umekuwa katili wa mapenzi. umeliua penzi letu kwa mkono wako mwenyewe.
Ahahahahahahahahahahahahahahaha haha shemejiiiiiiii unandai!
Wallahi chagua mahali nkakuhonge mguu wa mbuzi choma!
Hold on....ina maana ndo limekufa au?
Atiii...???
nna rahajeeeee team naturale
Naongezea unene tu kwa kula kihepe!
shemeji gauti haina uhusiano wowote na pafomensi kwenye via vya uzazi?
Kule mgombani uliwahi kusikia mzee wa ukoo anakataa kubaki na mwaliamwana iwapo kijana anaenda dasalamu?
Wanena hivi juu ya kuhani mkuu? miss neddy?
hajahahaha nina mahesabu yangu wait and watch
Unatumia calculator au four figure?