Ahahahahahahahahahahahahahahaha haha shemejiiiiiiii unandai!
Wallahi chagua mahali nkakuhonge mguu wa mbuzi choma!
That's why i love you ....!!
vyote kwa pamoja babu
Unatumia calculator au four figure?
We naona hukwaziki!Juzi nilikuwa sehemu wakaka wakawa wanamsifia dada mmoja eti ni mzuri mweupe anavutia
Ila yule dada ukimsogelea karibu kapiga deki la haja vidole vya mikono vyeusi tiiii..mbaya sasa umkute hajavaa make up zake utachoka
Sijui watu wanapenda nini lakini?finally uzee pale ngozi inapogoma kurudia hali yake
Pia hii meseji kwa mwimbaji nimpendae sana Bahata Bukuku..kanakwaza sana jinsi alivyojikoboa
Nichum sasa!
Uyo wa siku izi 4 figure anaijuaje
Nami nakupenda kwa vyote ulivyo navyo.
Hahaha 2015 sio mbali
Tatizo la hesabu linajulikana nchi nzima u.know....una hesabu mpya?hajahahaha nina mahesabu yangu wait and watch
:busu:busu:busuNichum sasa!
Mwaaaaaaaaah!.Shemeji shemeji shemeji.
Mwaaah. chum la shemeji halina mazara.
Hata mie nimeona.it is a good thing though
hahahahaa nahisi fumbo hili
:busu:busu:busu