ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,596
Uni PM na mimi ...lol!
baba paroko ombi langu kwako its like 22/7 never change...sala tuuu.
labda nipm fungu langu la kmi lol
Uni PM na mimi ...lol!
miss u tooo my tichaa
nipo nilikuwa nawaambia nilivyofaulu exams.
baba paroko ombi langu kwako its like 22/7 never change...sala tuuu.
labda nipm fungu langu la kmi lol
Yaan mwenye uzi mmeniacha mi nilidhan nikilala nanyi mnalalaa kumbe mnaendeleaaaa khaaa noumaaa,haya nimerud mwenye jipya anipe halaf sijawaona Evelyn Salt na lara 1 mbona siwaon mmejikoboaaa niniii kama mpo weusi kama Lupita jipendenii kama mwapenda kujaajaa ili kuepuka vipaja kama sigara kuleni mjae mjae halaf mkate hayo matumboo
Naona mambo yako poaa aman kwa kwenda mbele nipo najilia ugali na maziwa nikachunge ng'ombe miee wale mjini full Ac mi naungua na jua huku lakin ngoz natural kama tofali lililochomwaa likaivaaaaa nawakajee kama kwenye mataa, Honey Faith sijakuonaa njoo cc mwallu upoooooo! !halaf tabia ya kusingizia wasukuma wanasababisha watu wajichubue mkome wasukuma wanapenda weupe aliozaliwa nao mtu sio wa kwenda kununuaaaaa banaa au sio wasukuma wenzangu
Wauuu thanks kwa upendo na moyo wa kutoa zawad
I need gift of prayer only.
Ntakupm ombi langu
Bodaboda kupita njia kuu ni kujitafütia ajali zisizo na kinga.
Ohooo.....the law of conservation of energy. Asprin FYI
Mbona hujanipm thathaa
Mie nipo mumie.Nimekuahidi nitaacha kujichubua
Nimeshafuta mkataba. Sichezi tena na wewe.
Am floating.... Hebu kumbushana mimi law of floatation. Huyu miss neddy hachelewi kuappy archimedes principle kikaumana mazima.
Hahahaha.....huyu miss neddy bado mdogo mdogo ujue...tusimchanganye mazima
hahahaa nakupa mji nipe jibu
Iki sio kitwndawili u know...nipe rushwa
Ulivyo mchoyo sidhani kama atarudishiwa PM yake... Afu nakukumbushia deni langu kule mtaa wa pili.