Kweli kabisa you can ask such a question??? Huelewi maana ya michepuko??? Eti nikuelezee reasons for michepuko!! Ebu tuachage utoto usiokuwa na maana jamani!!
Lile tangazo ni zuri ila lugha iliyotumika siyo sawa tunazidi kukididimiza kiswahili bila sababu nilugha za kifacebook lugha za vijana ambao wengi hawapo kwenye ndoa
Michepuko dill yani niache kuchuliwa kuogeshwa kwa maji yenye viungo??kisa tangazo! Na rudi home nakuta umevimba kama umetiwa ndimu...kisa? Mwambie wa kwako aache michepuko siyo wawengine.
michepuko dili sana tu.
aa wapi..hatuonani popote
usitoke povu kiasi hicho.. mwalimu anapoeleza definition ya economics kwa wanafunzi wa masters haimaanishi kwamba walikuwa hawajui maana ya economics, no!
introduction ni muhimu sana kwa sababu JF inapokea wageni wengi mno kwa siku.. trust me in that..
kwa mafunzo tu kwa wengine, nilikuomba muongozo wa sababu za michepuko, umetoka povu..
sasa nani alaumiwe kama mtoa mada kakasirika na kupanik?
michepuka haikubaliki
kataa michepuko
baki njia kuu
michepuko husababisha ajali
michepuko husababisha foleni
michepuko ina madhara
Acha hasira kubali wito kataa neno nina maana yangu unajua hautajutia pls do ze needful
Lile tangazo ni zuri ila lugha iliyotumika siyo sawa tunazidi kukididimiza kiswahili bila sababu za msingi nilugha za kifacebook lugha za vijana ambao wengi hawapo kwenye ndoa