Hivi wewe baba au mama uliye kwenye ndoa na bado unaendekeza michepuko huwa unajisikiaje ukisikia au kuliona lile tangazo la PSI?
Kama nafsi yako inakusuta basi chukua hatua ila Kama huskii chochote aisee wewe basi tena.
Jamani acheni michepuko bakini njia kuu. Hii ikuendee wewe/ nyie wanafunzi Wa MFI na wababa Wa TOB na NGEBU n.k. na wazee Wa michepuko wote humu JF.
Mlale unono ila kumbukeni michepuko sio dili
Michepuko dill yani niache kuchuliwa kuogeshwa kwa maji yenye viungo??kisa tangazo! Na rudi home nakuta umevimba kama umetiwa ndimu...kisa? Mwambie wa kwako aache michepuko siyo wawengine.
sikiliza kijana, usiponde tatizo kama hujui roots za tatizo zilipo! mimi si kwamba nakupinga oh sijui tuchepuke, no!
jambo la msingi hapa, define michepuko, elezea origin ya michepuko, elaborate reasons for michepuko, then sema michepuko iachwe vipi!
come back and answer the questions!
Zinduna! ahsante kwa kuniamsha na kibaridi hiki! lolz! one day tutambeleana kulaleki!
Mimi mchepuko unanishawishi! Mchepuko dili maana wanavimba coz wanauhakika na ndoa.Mkeo hawezi kuvimba bila sababu!! Na kuchepuka usidhani kuwa ndiyo suluhisho la matatizo yako ya ndoa! Kwanza wooooote wanaoendekeza michepuko kama wanaume nawaita ni DHAIFU KAMA NANIHII! MKeo hawezi kukuvimbia na kukununia halafu na wewe upo tu unamuangalia. WEWE KAKAKIIZA ni DHAIFU!!!!!