Lowasa yupo imara Kama Raila Odinga alijua mapema kuwa kuna kukosa ama kupata hawezi kuishi maisha ya shida alishajipanga vizuri siku nyingi Timu yake sasa wapo wamehamia Kwa magufuli maisha yaendelee.
unaonekana km una uelewa flan hivi ila sasa ni kuwa tren imekaa mahali yake km unabisha simama kwa mbele uone km kuna sheria itakilinda au utaambiwa umegonga tren . EL NI TREN YA UMEME
PIA watu km nyinyi huwa mnaferi sn maishani kwan huwa mna-krem mambo na huwa siku zote huwa hamna hoja za sasa na baadae ila mnaangalia mlijikwaaa wapi . muda si mrefu utapumua wewe
Ni mapema sana subiri kampeni zianze ndio upime leo haikua kampeni ni warm up tu mechi zinakuja pumzi mwanzo mwisho na itathibitika nani ana afya tete. Nguvu, uwezo, nia na mungu tunaye nani zaidi?