Team Lowassa walikuwa disorganised!

Kujipanga isingekuwa rahisi mbele ya pesa. Pesa haijawahi kuwa na formula. Team haikuwa na nia thabiti ya kumpeleka Lowasa Ikulu, sema na Mamvi naye alishindwa kusoma alama za nyakati. Maskini sasa kapoteza vyote: pesa, urais, "marafiki".

Kula like mkuu
 

naisubiri mkuu.
Note: weka paragraph utakapo kuja tena
 
Timu Lowasa kwa kweli wamefurahia Membe kukatwa kwani Membe alitumia mabilioni ya Gadafi kuajili Timu kubwa ya kumchafua Lowasa na Lengo la Membe ilikuwa akiwa Rais lazima angemkomoa Lowasa kwa kuwafunga jela Timu nzima yote, sasa wapambe wa Lowasa wapo kwa Magufuli baada ya kusherekea kuanguka kwa Membe.
 
Na iwe fundisho kwa wengine wanaodhania kuwa Watanzania hawana watu wa kuwatetea, hongereni mliotuondolea Lowasa
 
Hawakuwa na plan B

Kwenye kutafuta kuna kupata na kukosa na Lowasa analijua hilo ukumbuke hata Adui wa Lowasa aliungana na January na Membe wakawaleta mseto wa waganga wa kienyeji toka mataifa mbalimbali hadi huko Gambia na Amazoni Membe alikwenda kusaka waganga huku vijana wake wakishinda na kukesha kwenye mitandao kumchafua Lowasa , Timu Lowasa sasa wapo kwa magufuli roho zao zimepoa kwani mtu Hatari kwao katupwa nje .
 
Na iwe fundisho kwa wengine wanaodhania kuwa Watanzania hawana watu wa kuwatetea, hongereni mliotuondolea Lowasa

Pia unapaswa uwape hongera waliomkata baba yako Membe na kamsaidie kuwasafirisha wale waganga wa kienyeji aliowaleta Nchini.
 
Ila ingawa ni mijizi hawa watu...nawapa kapongezi kidogo maana kumkata huyu mtu haikuwa kazi rahisi hata kidogo....
At least wametupunguzia Majambazi mawili

Walitaka kuchemsha kumpitisha Membe lakini ilikuja kugundulika kuwa Membe na January wametumia nguvu nyingi za Giza na wameleta lundo la vigagula Dodoma ndiyo maana wakawakata haraka .
 
Acha stories bana....Mke wa Magufuli alisoma na mke wa Jakaya hivi hii fact haikushtui?
 
Lowassa akiwa siyo mbishi CCM watamtuliza kama walivyomtuliza Malecela 2005. Na hiyo ndo itakuwa Plan B yake ya maana.
 

Timu Membe si watulivu bali walikuwa wachache sana na wengi walikuwa waganga wa kienyeji na vijana wa kushinda kwenye mitandao kupika uongo, uzushi na kila mbinu za kumchafua Lowasa , Membe yeye aliwatumia Nape, jack Gotham na Timu za kimafia ambazo sasa zimejikausha tayari na hawana kazi wameludi mitaani .
 
Hivi timu EL hamtaingia msituni kweli? manaake wamewalostisha mmepoteza pesa nyingi jamaa wamewachezea picha la kihindi! tena ambalo halijatafsiriwa! sifurahii ila namhurumia jamaa!
 
Team Lowassa ilikuwa dhaifu sana. Wale wapambe wake wote wameshonwa mdomo kimyaaaa
 
Walitaka kuchemsha kumpitisha Membe lakini ilikuja kugundulika kuwa Membe na January wametumia nguvu nyingi za Giza na wameleta lundo la vigagula Dodoma ndiyo maana wakawakata haraka .

Hahaaaaaaaaaa...is it real??
Hv kama wasomi wanaamini uchawi..vp kwa wasiosoma kabisa?
 


Mapinduziii .....Daimaaaaaaaa! hayo ndo yenyewe.
 
Hivi timu EL hamtaingia msituni kweli? manaake wamewalostisha mmepoteza pesa nyingi jamaa wamewachezea picha la kihindi! tena ambalo halijatafsiriwa! sifurahii ila namhurumia jamaa!

Lowasa hajatumia pesa zake toka mfukoni pesa nyingi alichangiwa na marafiki isitoshe Lowasa ni tajiri ana Mali nyingi hawezi kuchoka ataishi maisha ya kushiba bila njaa Kama Raila Odinga , wafuasi wa Lowasa wengi sasa wamehamia kwa magufuli kwani Adui wa Lowasa alikuwa Membe na sasa Membe kakatwa wameamua kumuunga mkono magufuli hawaendi kokote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…