Mkuu mbona unang'ania sana kuhusu ripot ya kamati , lazima ujue kwanza ile kamati iliundwa kwa lengo gani hasa, ni jambo lilowazi kamati haikufanya kazi yake ipasavyo kwani mwenyekit wake mwenyewe yeye binafsi alikiri mbele ya bunge ya kwamba mambo mengine makubwa amechelea kuyasema mana yangevunja nchi, hapa ndo kuna utata hasa ukilinganisha na maneno ya Lowassa binafsi akihoji kutulumiwa kuwa fisadi na viongozi wa chama husika na kwa pesa za chama akimuuliza mwenyekit wa chama kwamba hakumshauri kuhusu kusitisha mradi huu ila mwenyekit akakataa.. Ninachomanisha anayehusika na richmond baadaye Dowans si Lowassa ila ni Mwenyekiti almarufu Mzee wa kaya ila kutokana na unyeti wa nafasi yake ikaonekana Lowassa atwikwe mzigo, lakini hapo kunakuja kuwa na utata wa spika Sitta ambaye alishadadia sana suala lile hata kufikia kusafisi na funguo ya ofisi, na hili ni jambo lilochangia kupigwa kwake chini uspika, ninachokiona ni tamthiliya ndefu iliyojaa visasi na woga na siasa maji taka ila kwa mwenye kufikiri atajua na kuelewa wazi Muhusika wa Richmond baadaye Dowan ni mzee wa kaya na jamaa zake. Ya Lowassa na kutosa uwaziri mkuu ni kuzungukwa na mkubwa wake, namanisha mkuu wa kaya alimtupia zigo Lowassa na kutokana na jamaa kuwa mtu wa maamuzi magumu hakuogapa kubwaga uwaziri mkuu..Ni yeye pekee katika taifa hili ameweza kufanya hivyo wengine ni Mwinyi na Mrema ila walikuwa ni just ministerz... Kuna kashifa kubwa kuliko hiyo Richmond kama Meremeta na IPTL ila hakuna anayeziongelea, jiulize why?? kuna mambo ambayo hatuwezi kuyaelewa bila kuunganisha dot..Majungu na hakuna kingine, LOWASSA KAACHIA UWAZIRI MKUU MANA ALIPISHANA MAWAZA NA MZEE WA KAYA,