Mosahe
Member
- Feb 22, 2017
- 67
- 33
kama kuna teamleader wa HALOTEL humu naomba msaada wa file la usajili namna ya kulifungua kuna jamaa kanitumia ila maelekezo kanipa namba zake ila bahati mbaya wakati anabofya hazikutosha nimeshindwa kumpata.
Huku niliko hakuna teamleader wa kunisaidia na wateja wapo nipige kazi.
Huku niliko hakuna teamleader wa kunisaidia na wateja wapo nipige kazi.