Huyu jamaa alikua sheikh si msela"Kila mmoja ni mjuzi wa nafsi yake" kuna ya siri na ya dhahiri. Point ni ile ile mwizi na mwizi mwenzie na mzinzi na mzinzi mwenzie.
Basi sawa...
Basi sawa...Huyu jamaa alikua sheikh si msela
😄😄😄😄Nilikuwa nazungumza na demu fulani hivi ,sasa ni mke wa mtu alikuwa mtu wangu for two years hatukuwahi kusex, baadae tukatofautiana,kila mtu akawa na ndoa yake ingawa tumekuwa tukishirikiana kwenye mambo ya kijamii mengi,.
Sasa muwewe kasafiri yupo nje na Dar ,nikaomba mbususu kaniambia nifuate fasta.mwingine tulikytana nae kwenye semina huko nyanda za juu kusini ,kwenye msosi kila akiniona lazima aje ajibebishe kwangu,kidogo mim sio mtu wa masihara nimekaa kikauzu,basi mwisho wa siku akaomba namba nikampa,ni mke wa mtu mumewe ni mfanya biashara anakilato kikubwa,huyu manzi kaniambia mumewe hampi moto kwa hyo anataka nimpelekee moto,nimejaribu kutafakari haya mambo ,nafsi inanisuta ijapokuwa ijapokuwa home nako ni balas
Acha kutuchafua kataa ndoa, sisi ni kweli tuna mademu wengi na hii ni kanuni ya kuishi bila kumnyenyekea mtu kisa maku yake.Kuna wakati hawa kataa ndoa wanakuwa na hoja maridhawa, si wa kubezwa na kuwaona ni wabovu na wame left group. Ni wazima na wanapeleka moto kisawasawa kwa demu yeyote atakayejipendekeza kwenye anga zao. Kataa ndoa wengi ni wale waliowahi kuoa wakaja kusalitiwa vibaya na wake zao wakatimu/wakatimuliwa, ndio maana masuala ya ndoa hawayataki tena. Ila mbususu wanakula sana tena kwa jazba na ghadhabu, wanakula kwa kufakamia wakiwa na mentality ya kulipiza kisasi kwa waliyofanyiwa na wake zao, sijui wanalipiza kisasi kwa nani wakati wake zao waliishaachana nao kitambo. Unakuta msela anakula mbususu tatu tofauti kwa siku moja, ana mademu wengi wa reja reja ili tu asikose mbususu kila anapojisikia hamu ya kunyandua anachagua wa kuwaita waje getoni kwake au gesti akamalize hamu zake. Ishu kubwa ya kataa ndoa ni hofu ya kusalitiwa na misala yake ndoani
Tunazichapa ila kitu cha msingi sio kuwaza anakusaliti au anatoka na nani, bali afya yangu na kibunda kiasi gani nitaspendi kuizagamua.Mwili wake uchi wake unalinda nn ?? Linda afya na kipato chako na watoto wako kwa wivu mkubwa!!!
Umekutana na Malaya hao, wake zetu wanajiheshimuNilikuwa nazungumza na demu fulani hivi ,sasa ni mke wa mtu alikuwa mtu wangu for two years hatukuwahi kusex, baadae tukatofautiana,kila mtu akawa na ndoa yake ingawa tumekuwa tukishirikiana kwenye mambo ya kijamii mengi,.
Sasa muwewe kasafiri yupo nje na Dar ,nikaomba mbususu kaniambia nifuate fasta.mwingine tulikytana nae kwenye semina huko nyanda za juu kusini ,kwenye msosi kila akiniona lazima aje ajibebishe kwangu,kidogo mim sio mtu wa masihara nimekaa kikauzu,basi mwisho wa siku akaomba namba nikampa,ni mke wa mtu mumewe ni mfanya biashara anakilato kikubwa,huyu manzi kaniambia mumewe hampi moto kwa hyo anataka nimpelekee moto,nimejaribu kutafakari haya mambo ,nafsi inanisuta ijapokuwa ijapokuwa home nako ni balas
Red Me alianza hivi hivi sasa hivi anataka kuhasiwa🤣🤣Acha kutuchafua kataa ndoa, sisi ni kweli tuna mademu wengi na hii ni kanuni ya kuishi bila kumnyenyekea mtu kisa maku yake.
Infact lazima uwe na options za kutosha ukitaka kufanikiwa kwenye jambo lolote hapa duniani. Hivyo kuwa na option ya wanawake inakufanya uwe top notch, never simping to nobody for the sake of nyau!!!!
#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!
😄😄😄😄 Red-me Kanji bahi atakuwa alikuwa tungi. Kataa ndoa for life, we here to last longer!!!Red Me alianza hivi hivi sasa hivi anataka kuhasiwa🤣🤣
Dogo achanana hizi Kampeni usizojua Mwanzo wake na malengo yake