Kwahiyo upo tayari kuendeleza familia hata kama ukijua mkeo sio muaminifu?Hatujaoa ili kumzuia mwanamke asiliwe nje, tunaoa ili kuanzisha family kihalali chief, ndio lengo halisi la ndoa
Pole kwa kuondokewa na mke mkuu.Kuna mama mmoja anamshangaa jamaa mmoja hajaoa tena tangu aachwe na mke wake yapata miaka mitano sasa. Huyo mama anamuambia kwa umri alio nao atafute mama mwenye watoto kuanzia wawili aoe maana mwenye mtoto mmoja au asiye na mtoto atamsumbua. Jamaa alimjibu kuwa kuliko kuoa mama mwenye watoto wengi bora asioe kabisa aendelee kuishi peke yake, anasema hataki kero na familia ya mtu mwingine. Hana mke kwa sasa ila mbususu za rejareja anazipata sana tu na tayari ana mtoto mwingine huko alikopata mbususu ya rejareja
Unaweza linda afya yako kwa wivu mkubwa lakini ukaletewa matatizo ya afya na mkeo kwa uzembe mkubwa.Mwili wake uchi wake unalinda nn ?? Linda afya na kipato chako na watoto wako kwa wivu mkubwa!!!
Nimekuelewa bravoUnaweza linda afya yako kwa wivu mkubwa lakini ukaletewa matatizo ya afya na mkeo kwa uzembe mkubwa.
AiseeNilikuwa nazungumza na demu fulani hivi ,sasa ni mke wa mtu alikuwa mtu wangu for two years hatukuwahi kusex, baadae tukatofautiana,kila mtu akawa na ndoa yake ingawa tumekuwa tukishirikiana kwenye mambo ya kijamii mengi,.
Sasa muwewe kasafiri yupo nje na Dar ,nikaomba mbususu kaniambia nifuate fasta.mwingine tulikytana nae kwenye semina huko nyanda za juu kusini ,kwenye msosi kila akiniona lazima aje ajibebishe kwangu,kidogo mim sio mtu wa masihara nimekaa kikauzu,basi mwisho wa siku akaomba namba nikampa,ni mke wa mtu mumewe ni mfanya biashara anakilato kikubwa,huyu manzi kaniambia mumewe hampi moto kwa hyo anataka nimpelekee moto,nimejaribu kutafakari haya mambo ,nafsi inanisuta ijapokuwa ijapokuwa home nako ni balas
Kuna jamaa yetu ana Fanya kazi barber shop ni kinyozi, alikua anatupa stori alioa Binti mwenye heshima mpaka familia Yao ina heshima balaa yani dini ipo ya kutosha lakini KESI kila siku mvuligano kila siku ACHA TU alikuja kuoa baadae kademu Fulani ka barmaid ndo akatulia jamaa anakwambia asee Bora kidogo nikashisha pressure kule ilikua mperamperaOa bikra
Basi sawa...
Haya unayoyasema na mkeo anafanya hayohayo.Nilikuwa nazungumza na demu fulani hivi ,sasa ni mke wa mtu alikuwa mtu wangu for two years hatukuwahi kusex, baadae tukatofautiana,kila mtu akawa na ndoa yake ingawa tumekuwa tukishirikiana kwenye mambo ya kijamii mengi,.
Sasa muwewe kasafiri yupo nje na Dar ,nikaomba mbususu kaniambia nifuate fasta.mwingine tulikytana nae kwenye semina huko nyanda za juu kusini ,kwenye msosi kila akiniona lazima aje ajibebishe kwangu,kidogo mim sio mtu wa masihara nimekaa kikauzu,basi mwisho wa siku akaomba namba nikampa,ni mke wa mtu mumewe ni mfanya biashara anakilato kikubwa,huyu manzi kaniambia mumewe hampi moto kwa hyo anataka nimpelekee moto,nimejaribu kutafakari haya mambo ,nafsi inanisuta ijapokuwa ijapokuwa home nako ni balas
Kila mmoja atapata wa kufanana nae, jiulize alioa mwenye dini yeye mwenyewe amesimamia misingi ya dini? Akampata barmaid manake ndio huyo wa kufanana naeKuna jamaa yetu ana Fanya kazi barber shop ni kinyozi, alikua anatupa stori alioa Binti mwenye heshima mpaka familia Yao ina heshima balaa yani dini ipo ya kutosha lakini KESI kila siku mvuligano kila siku ACHA TU alikuja kuoa baadae kademu Fulani ka barmaid ndo akatulia jamaa anakwambia asee Bora kidogo nikashisha pressure kule ilikua mperampera
Kuna jamaa yetu ana Fanya kazi barber shop ni kinyozi, alikua anatupa stori aliona Binti mwenye heshima mpaka familia Yao ina heshima balaa yani don ipo ya kutosha lakini KESI kila siku mvuligano kila siku ACHA TU alikuja kuoa baada ya kikao kademu Fulani ka barmaid ndo akatulia jamaa anakwambia asee Bora kidogo nikashisha pressure kule ilikua mpOa bikra
Basi sawa...
Huyo jamaa ni sheikh we unasema wakufanana nae tena swala tano huyo jamaa, tulikutaniana MSIKITINI ndo chanzo cha urafiki wetu, yule dada alikua kaacha kazi lakini mapito yake ashawahi kua barmaidKila mmoja atapata wa kufanana nae, jiulize alioa mwenye dini yeye mwenyewe amesimamia misingi ya dini? Akampata barmaid manake ndio huyo wa kufanana nae
Basi sawa...
"Kila mmoja ni mjuzi wa nafsi yake" kuna ya siri na ya dhahiri. Point ni ile ile mwizi na mwizi mwenzie na mzinzi na mzinzi mwenzie.Kuna jamaa yetu ana Fanya kazi barber shop ni kinyozi, alikua anatupa stori aliona Binti mwenye heshima mpaka familia Yao ina heshima balaa yani don ipo ya kutosha lakini KESI kila siku mvuligano kila siku ACHA TU alikuja kuoa baada ya kikao kademu Fulani ka barmaid ndo akatulia jamaa anakwambia asee Bora kidogo nikashisha pressure kule ilikua mp
Huyo jamaa ni sheikh we unasema wakufanana nae tena swala tano huyo jamaa, tulikutaniana MSIKITINI ndo chanzo cha urafiki wetu, yule dada alikua kaacha kazi lakini mapito yake ashawahi kua barmaid