Team Kanembwa tukutane hapa

Team Kanembwa tukutane hapa

Kanembwa pazuri, lko umbali kidogo kutoka kibondo mjini, ni kambi ya zamani ya wakimbizi wilayani kibondo.
 
Kama unachet cha ugonjwa au ulemav tafta mapema uende navyo
 
Mjiandae kubeba moramu kanembwa,..uende na ndoo kabisa
 
Tranka nishauza hlf kununua tranka kixa jkt mtihan,cha mcng nabeba v2 vichache

unapewa ushauri na wakubwa zako halafu unajifanya unajua!
good job Danny Job!
Post zikitoka za graduates nitazamia..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom