Team diamond,Team wema,Team kajala

Team diamond,Team wema,Team kajala

mtvbase

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2014
Posts
1,243
Reaction score
563
Ongezeko la graduate wasio na ajira,mama zetu ambao baada ya kuolewa wameamua kushinda nyumbani bila kujishughulisha,ongezeko la wanafunzi wasio bize na shule,ongezeko la vijana kupenda kukaa vijiweni bila kujishugulisha limesababisha kuongezeka kwa timu zisizo za mpira kama team diamond,team wema,team kajala,team wolper n.k.
 
Umesahau Ongezeko la wasomi wengi wasio na uchungu na nchi yetu hii maskini imezaa timu nyingi mfano timu Richmond,Timu Epa sasa Timu ESCROW ndo imeshika kasi....

Ukweli tupu.
 
Hahahaaa halafu sijui wanawapikia waume zao SAA ngapi...kutwa wapo uwanjani na team zao....uuuwiiii
Hapo ukute Mtu yuko busy na mtandao hata kitanda hajatandika.....ukimuuliza eti ye team ma.vi.....heheheeee na tuwaache wanaume wachepuke.....

Ikikugusa, ikikukuuma kuny.a tikitkiti ujipoze.......
 
Wengi waliopo kwenye hizi Team ukichunguza sana hata ndoa hawana wapo wapo tuuu! kutwa na mitandao
Hahahaaa halafu sijui wanawapikia waume zao SAA ngapi...kutwa wapo uwanjani na team zao....uuuwiiii
Hapo ukute Mtu yuko busy na mtandao hata kitanda hajatandika.....ukimuuliza eti ye team ma.vi.....heheheeee na tuwaache wanaume wachepuke.....

Ikikugusa, ikikukuuma kuny.a tikitkiti ujipoze.......
 
Yaani huwa nawashangaa
Nasoma ujinga wao insta wanatukanana mpaka unashangaa utafikiri wanalipwa.
 
Yani nachukia huo upuuzi, watu kama watoane roho kisa ushabiki maandazi, jingine lipo police sijui kama lilishaachiwa kisa matusi!!!
 
Ushabiki wa kitu flani sio kigezo kusingizia wasio na kazi maneno kibao hizi team ni ushabiki tu kama ushabiki wa Barcelona na Real Madrid we hupendi hichi mwenzako ana penda tofauti haina haja ya kumuona sijui namna gani vip wengine wanaona escrow ndo habari ya mjini wakati wengine hawana time in life lazima tukubali kutofautiana interest wote tungeshabikia kitu kimoja ingeboa life is all about fun kila mtu apendacho bwana mi sijaona cha ajabu mtu kushabikia kitu akipendacho pia si dhambi wala haijanyimwa
 
Niujinga tu watu wamejituliza kwao wao mnahangaika tafuteni kazi za kufanya
 
Back
Top Bottom