TEAM BMX

Foxhound

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
28,063
74,469
Hebu leo tujikumbushe team za kipindi hicho watu wanapenda bike achana na hizi team za kijinga zilizopo sahv eti team ujinga ujinga.

Hii ndio team niliyowahi kuipenda, wewe je?
e68706bbeaa4dd6997f035a1e9ea586a.jpeg
5d7cdbd099147fc9f2e898f9208cb984.jpeg
55d1eb6d425a86e1e0c6ed44e98d483c.jpeg
e18c23a9d2ef00233223314ebe5e513d.jpeg
46cf496e6381ef1bf3f7bb7159376aae.jpeg
daeb6f9f5f913e4010b7ae6f0c85e307.jpeg
f71463d8be5b0b41e3ca9e7219669de1.jpeg
f71b7c51b9a0d6d8cc1bd8a343d6c9a7.jpeg
350b6592829602bfb6e1fdb2ea755438.jpeg
804598ecd4eb2ea9d5288320dc804d19.jpeg
0a115b23052abaf5c2f387dfbd3a6999.jpeg
044f767beca9c4a813deac5cabc0fe2c.jpeg
a1ee4ed324d052bcf889d76d6cd20bcc.jpeg
516c1315ce8981098a3966fad5911e1d.jpeg

ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ
 
Kipindi hicho miaka ya 92 nipo zangu shule na marafiki zangu team BMX ilikuwa ni mwendo wa kukanyaga pedal tu, na tukipita lazima tuache stori BMX kama 30 zinaongozana kwa wakati mmoja

Nyie ndy mlikuwa mnatutesa mkipita uswaz
Kwetu, uwezo hatuna ya kuzipata alafu tunazi mind

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndo hizi zilikuwa kushika break mpaka urudishe pedal kwa nyuma
Kurudisha pedal nyuma au unakuta zina break ya nyuma pekee

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
 
Wale wa Phoenix, Avon, Swala, Rajja nk tunakoment wapi.
Nyie mtulie tu thread yenu bado!

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
 
Ili ujifunze Swala au flying Peugeot au Phoenix lazima umsubiri mshua alale ili unyate ndani na ukaiibee halafu mkajifunze na masela mbele ya safari, hizo Bmx za watoto wa kishua ingawa watoto wenyewe walikuwa maboya tu yaani walaini mno sababu ya midekezo ya wazazi wao.
 
Kumbuka hao watoto mnaowaita midekezo sio wote!

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
 
Back
Top Bottom