teachers' junction
Senior Member
- Dec 5, 2013
- 122
- 9
teachers junction;8035047 said:Habari.
kuna nafasi tatu.
1.mwalimu wa biology nafas 2
kongowe mzinga.
offer not less 550,000/=
2.mwalimu wa english.
kongowe mwisho
offer not less 700,000/=
3.physics and civics.
kongowe mwisho.
offer not less than 670,000/=
zote ni Olevel.
mwisho tarehe j5 ya tarehe 11/12/2013.
Nyingine ziko kimara mwisho.
Olevel na Primary.
tutazitangaza jumaatano
11/12/2013.
+255-753810857.
Teachers Junction
What's in for you? Please be open, siyo tunapiga simu na kuambiwa mshahara wakanza na wa pili ni wenu..
teachers junction;8132698 said:Habari ya jumanne wanajf.
Walimu waliokwenda kimara kwa ajili ya geo,history na kiswahl secondari,tunatarajia kufanya interview ya pili ambayo ni ya darasani tarehe 02/01/2014.
ikifuatiwa na agape kongowe tarehe 06/01/2014.
Pia tunaomba radhi kwa walimu walotakiwa kwenda st.Elizabeth kucheleweshwa ni kutokana na kubadilishwa kwa uongozi shulen hapo akiwemo mkuu,hata hvy tumekaa na uongz mpya hvyo tutawataarifu cku rasmi ya interviw
.
kwa walimu wa kwenda kings primary mbez,interview itafanyika ijumaa ya tarehe 20/12/2013.
Nb.
kwa mwalimu yeyote ambae anaishi/yuko tayar kufanyakaz mbezi kimara mwenye grade A au Diploma nafasi bado zipo awah kwa ajili ya interview ijumaa na watakaoenda.
mahitaji ya bagamoyo na kongowe bado yapo.
pia tunatoa dau la 700,000/= to 750,000/= kwa mwalimu ambae ame base kwenye geography na alobase kwenye historia kwa olevel.
mungu atuongoze kwa kila jambo
+255-753810857
teachers junction;8011417 said:habari wana jf.
Mawakala wa ajira za walimu tanzania.
Teachers junction
kuanzia sasa tutakuwa tunaweka updatz zetu humu.
Hivyo walimu,wasokuwa walimu bali wamewahi kufundisha na wenye nia ya kufundisha.
Tunashauri wawe na mazoea ya kupita hapa kila mara ili kujua nini tunacho kwa wakati huo.
Pia zingatia kuwa nafasi zitakazotangazwa ni zile zilizopo kwa wakati huo.
Hata hivyo mwalimu anapofanya usajili wakati nafasi yake hakuna atapewa kipaumbele pindi itokeapo kabla ya kutangazwa.
Teachers junction
the strength of eduation.
+255753-810857
Mimi si mwalimu by Profession but graduate wa Bness admin, bachelor.Teaching is one of my passion ila sitaki full employment but rather kazi ambayo niko free kufanya mambo yangu mengine (not tied 100% as employee).Am gud in Maths and Physics as well as nina ka uzoefu kidogo ka kufundisha tuition.Am self employed now....any room for the nature of the job i want???
teachers junction;8011417 said:Habari wana jf.
mawakala wa ajira za walimu tanzania.
Teachers junction
kuanzia sasa tutakuwa tunaweka updatz zetu humu.
hivyo walimu,wasokuwa walimu bali wamewahi kufundisha na wenye nia ya kufundisha.
tunashauri wawe na mazoea ya kupita hapa kila mara ili kujua nini tunacho kwa wakati huo.
pia zingatia kuwa nafasi zitakazotangazwa ni zile zilizopo kwa wakati huo.
hata hivyo mwalimu anapofanya usajili wakati nafasi yake hakuna atapewa kipaumbele pindi itokeapo kabla ya kutangazwa.
teachers junction
the strength of eduation.
+255753-810857
teachers‘ junction;8223985 said:Habari wana jf.
poleni na pilika za x-mass huku tukiendelea kumuomba mungu atuweze kuuona mwaka mpya wa 2014.
Wale walimu tulokuwa tukiwasubiri kwa ajili ya kwenda Mbezi kimara tumefanikiwa kuwapata.
hivyo wanatakiwa kwenda kwa interview jumaatatu ya tarehe 30,12,2013..
yoyote mwenye barua kutoka kwetu anatakiwa kwenda.
Teachers‘ junction inawatakia kila la kheri.
walimu walofanya interviewe Elizabeth tunatarajia kuwaita kwa interview ya pili tarehe 06,01/2014 ambayo itakuwa ya darasani.
mungu atuongoze.
Kwa sasa.
kuna nafasi ya Diploma na graduate.
Bagamoyo.
Diploma au Degree kimara. Biashara na social study kwa primary,Diploma na Degree.
wote mnakaribishwa.
+255-753810857
Mkuu PM mbona hujibu?