Teach the World - Lyrics (Lucky Dube)

Dube alikufa kwa bahati mbaya sana na kifo cha kizembe sana. Wrong place at wrong time.....

Brazil Romario yule mcheza mpira alikuwa anajisifu sana kuwa yeye ni zaidi ya Pelle. Siku moja hawa vibaka wa magari na bastola zao wakamvamia ili wachukue gari na walipoangalia upande wa abiria wakamuona Pelle, wakamsalimia na kumwita "King, kumbe upo ndani? Nendeni...."

Wiki mbili baadaye wakamvamia tena Romario akiwa peke yake, gari ikaenda. Kwa hela za Lucky Dube, alikuwa hatakiwi kabisa kubishana nao ila kuwapa tu hilo KOPO na wakamuacha na uhai wake maana au angelipata au angenunua jingine maana alikuwa na hela nzuri tu. Ila kama siku zako zimefika....

Sasa hivi kuna wanae wanaimba ila wao siyo wana siasa. Kuna Nkulee Dube na Bongi Dube na hapa chini, binti Nkulee akiimba wimbo wa baba yake....
http://www.youtube.com/watch?v=H4-sGiIVn3Y&feature=related


 

Sijikosea kukuita Mwalimu wangu kwenye music....
Siwezi kuweka neno juu ya maneno yako
 


Yaani jamaa wale walikuwa wapumbavu sana!!!!
Jaji alipowauliza yaani nyie mlikuwa hamkumfahamu Lucky dube!! jamaa wakasema eti walidhani mfanyabiashara wa Ki-Nijeria!!!!

Kwa kweli, ni aibu kwa Afrika ya kusini na Afrika nzima......kuja kupata tena mtu kama Lucky Dube siyo rahisi!!
Jamaa alikuwa icon.
 


Jamaa alikuwa anawananga wasiasa!!
Hii kweli imetulia!
 
Last edited by a moderator:

Hii ina tugusa kabisa wa TZ Mwalimu nyerere alihangaika miaka mingi mno kuijenga nchi hii, akaja stupid fuu mmoja anaitwa Mwinyi! akaharibu kila kitu!
 
Last edited by a moderator:
Teach the world, the way it is, monster, tax man huwa sichoki kuzisikiliza zina lenga hasa yanayo endelea kwa nchi za kiafrika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…