Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,706
- 102,472
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ni uswahilini?Unacheza makida weye!Njoo huku uone tunavyokunywa chai kwa matembele![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Ulikuja mida gani?? Leo utakuepo??Jana umekimbia nimekuja Bamba nakuta promo ya mambo yako Hainess nikapiga bia zangu saa7 nikaamsha home
Mkuu naona leo ni mwendo wa sambusa.
Leo tukutane Mnadani Msalato
Hili toto la mama kijanaMkuu naona leo ni mwendo wa sambusa.
ππHili toto la mama kijana
Jana kanikimbia leo nataka nimpeleke msalato nahisi atakimbia tena[emoji3][emoji3]
Wenzake tumezowea cha rangi. Ye daily ya maziwa. πHili toto la mama kijana
Ngoja aje nimlishe UTUMBO wa mbuziWenzake tumezowea cha rangi. Ye daily ya maziwa. [emoji3]
Mi nikajua yupo kwa Makala?Jana kanikimbia leo nataka nimpeleke msalato nahisi atakimbia tena
Na Mapupu usisahau. ππNgoja aje nimlishe UTUMBO wa mbuzi
Mimi nilijua nitaona vitumbua vya mama Bonge, au chapati lenye ngozi 3 ya Mwajuma wa Mtoto wa Kitanga na maharage Nazi.Hapo ndio uswahilini? Mbona mnapenda sana kutudharau aiseeπ‘π‘
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] huyu dogo ni mtoto wa mama kijanaMimi nilijua nitaona vitumbua vya mama Bonge, au chapati lenye ngozi 3 ya Mwajuma wa Mtoto wa Kitanga na maharage Nazi.
[emoji1309][emoji1309][emoji1756][emoji1756][emoji1756] kabisa aisee labda akimbie tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na Mapupu usisahau. [emoji3][emoji3]
Namalizia bia waswanu niende MsalatoMi nikajua yupo kwa Makala?