donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
- Thread starter
-
- #21
Ni Noah mkuuHivyo pembeni ya kebab ni nini mkuu
Ndiyo vinini mkuu?Ni Noah mkuu
Hapana mkuu, Ni uswazi. Amini kwambaJamaa anajipaisha sana wakati sisi wa uswazi huo msosi hatujawahi kuuona
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23], mkuu si umeona hata meza hamna hapo, hata mkekaHahahaaa. Mana chai zetu huwa ni zile tunakunywa na mihogo ya kukaanga na saa ingine tunaponunua hata meza za kuweka sahani hamna zaidi ya zile benchi za kukalia na saa ingine unakuta watu wamejaa hamna pa kukaa. Teh teh [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Cc. donlucchese
Hahaha, mkuu we waki-sure tu kama hadi brunch unaijuaHuyu Uswahilina anapasikiaga nadhani tunagonga chai ya rangi na mihogo yenye pilipili nyingi mida ya saa5 juelekea saa6 wenyewe tunaita BRUNCH ndio ntolee mchana maji ya kandoro ya 100 siku ishaisha🙂🙂🙂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwanza Kuna majina tu yamekaa kishua. Shadeeya? Bora ingekua mwamvita, sikitu, tabu, mwanahamisi, chiku etc.Hiyo ndo uswahilini ninayoijua mie [emoji3]
Na chapati zinajulikanaga haziwi za kunona namna hiyo. [emoji3][emoji3] Yaani chapati ukiinua unaona upande wa pili.
Hahaha, niambie mkuu wanguWe mzee kwa maakuli masotojo nakukubali
[emoji23]
Ova
Aaah wapi njoo Kwa Mtogole tukufunze waswahili tulivyoHahaha, mkuu we waki-sure tu kama hadi brunch unaijua
Zipo mkuuHizo chapati zime editiwa ama mm sijawahi ona za hivyo
Poa mkuu, pitia hapa kwanza kwa azizi ally round about kwa Mzee wa mapilauAaah wapi njoo Kwa Mtogole tukufunze waswahili tulivyo
Pork chops mkuuNdiyo vinini mkuu?
Ntakuja jamaa saivi bado nipo DomPoa mkuu, pitia hapa kwanza kwa azizi ally round about kwa Mzee wa mapilau
Ahaa okay, nilikua sijavielewa kabisa kumbe mduduPork chops mkuu
Sehemu gani mkuu, tukutane bambalagaNtakuja jamaa saivi bado nipo Dom
Ndio mkuuAhaa okay, nilikua sijavielewa kabisa kumbe mdudu
Saivi nipo Waswanu hapa napiga mazaga bamba nite ndio pananoga ntakuja saa3Sehemu gani mkuu, tukutane bambalaga
Hahahaaaa. Mie wa Uswahilini Mkuu., kwanza Kuna majina tu yamekaa kishua. Shadeeya? Bora ingekua mwamvita, sikitu, tabu, mwanahamisi, chiku etc.
😀😀[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23], mkuu si umeona hata meza hamna hapo, hata mkeka
Jana umekimbia nimekuja Bamba nakuta promo ya mambo yako Hainess nikapiga bia zangu saa7 nikaamsha homeSehemu gani mkuu, tukutane bambalaga