Tea uswahilini

Jamaa anajipaisha sana wakati sisi wa uswazi huo msosi hatujawahi kuuona
Hahahaaa. Mana chai zetu huwa ni zile tunakunywa na mihogo ya kukaanga na saa ingine tunaponunua hata meza za kuweka sahani hamna zaidi ya zile benchi za kukalia na saa ingine unakuta watu wamejaa hamna pa kukaa. Teh teh πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Cc. donlucchese
 
Huyu Uswahilina anapasikiaga nadhani tunagonga chai ya rangi na mihogo yenye pilipili nyingi mida ya saa5 juelekea saa6 wenyewe tunaita BRUNCH ndio ntolee mchana maji ya kandoro ya 100 siku ishaishaπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Hiyo ndo uswahilini ninayoijua mie πŸ˜€

Na chapati zinajulikanaga haziwi za kunona namna hiyo. πŸ˜€πŸ˜€ Yaani chapati ukiinua unaona upande wa pili.
 
Hizo chapati zime editiwa ama mm sijawahi ona za hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…