huwa unaomba kozi ganiOoh sawa sasa mbali na udsm na udom chuo kipi cha serikali chenye course inayonifaa mm niliyesoma cbg
Microbiology, environmental science,
mwezi wa october kuna uwezekano kabisa wakaruhusu round ya nneNdo hiv chance yakuapply ishaisha
Pia hivi kwa matokeo yake system inaweza ikamtema, cha kufanya apitie TCU guide book angalie vyuo vingine vinavyotoa hizo programs.SUA na Ardhi wanazo pia Environmental Science
Kwan Kuna uwezekan wa round ya nne kuwepoPia hivi kwa matokeo yake system inaweza ikamtema, cha kufanya apitie TCU guide book angalie vyuo vingine vinavyotoa hizo programs.
nb, Tanzania vyuo vinatofautiana majina na majengo tu, ila vngine vyote sawa tu.
Uwezekano upoKwan Kuna uwezekan wa round ya nne kuwepo
Ouky thanks mrAchana na majina ya vyuo vikubwa utasubili sana, chagua vyuo vya vingine, ukiona huna div 1 neno udsm,mhimbili na udom kata kabisa kichwani tofaut na apo uwe mtu wa bahati na connection kwenye selection.
NB. Mwajili hangalii jina la chuo kwenye cheti anangalia una cheti husika na competence