inabidi waongeze securities..... ni moja ya changamoto wamepewa .... unanikumbusha CNN ilivyokuwa hacked na hackers from Beijing government , hao hao hackers wakazima umeme south carolina for 5min.
wajitahidi kuongeza securities.. na hawa wahindi walikuwa wanahitaji nini humo TCU..?!!:A S 39:
hapo sana sana account no. za benki ndio wanatafuta.
TCU hawana wataalamu wa ICT (Security)? Au ndiyo ajira za kufahamiana hizi?
poor security.........ni rahisi sana kuingia hapo...nimeingia nikaangali then nikawahurumia tu.....kama hawatabadilika watapata hasara sana
PSN imekua hacked ije kuwa TCU? Hata wakiweka security ya namna gan,kama wanataka ku hack watapata loop holes tu...any damages done due to the hack?
Simple reasoning hizo - Kwa kuwa PSN was hacked the TCU "should" be hacked - Real?

Aisee, imesemekana jana hawa jamaa wamekuwa hacked. Link hii hapa! http://nyepesi.com/2011/08/16/tovuti-ta-tcu-go-tz-tcu-yawa-hacked-majibu-yamechakachuliwa/ kweli hii taaaaaabu tupu!

''Katika hali inayozidi kuonyesha hali legelege katika taasisi ya TCU , tovuti yao ( tcu.go.tz ) imekuwa hacked na hackers wanaodai wanatoka India.

Hii imepeleka watu wengi kujiuliza kama majibu ya waliochaguliwa kuana chuo yapos salama, pia watu wanasema ndo maana TCU wameshindwa kutoa majibu kwa muda unaotakiwa.

Kuna uwezekana mkubwa kuwamajibu yamechakachuliwa au yamefutwa kabisa na hackers hao!''