TCU wanatoa lini majina ya second selection?

TCU wanatoa lini majina ya second selection?

hivi tcu wanatuletea lini majibu yetu maana tunekaa vichwa vinatuuma kwa ajil ya hizo post. kiukweli hawapo wazi katika mchakato wao wa uchaguzi inatakiwa watupe taarifa ya kutoa post tumechokaaa...
Vumilia tu ndio nchi yetu hii
 
Sasa vyuo vinavyotoa majina ya wanachuo wanayapata wap hayo. Majina mana profile ziko pending afu kila chuo kina Muda wake wakufungua, dar tunateseka
 
Daah, tupeane update ya vyuo ambavyo vimeshatoa, mkiona kcmc, hubert kairuki, archibishop iringa, campala na bugando mtushtue, watu Ata kula tunashindwa mana stress kila kukicha
 
Back
Top Bottom